Hivi Lissu ana dini kweli?

Magufuli ni mkristo, Mkatoliki kanisani anaenda kufanya ni nini na damu za watu aliso mwaga?
 
Tangu Lisu aweke nguvu katika kuwapambania wapenzi wa jinsia mmoja nikajua Lisu anashida kichwani Ila sikutegemea kwamba anaweza kukufuru kwa kiwango hicho.
Mawazo mgando hayo!! Kipindi kile Bashite alipoanzisha zoezi lake la kuwakamata mashoga!! Serikali mbona iliwajibu hao mabeberu, kuwa ule ulikuwa sio msimamo wa serikali, na zoezi likaishia pale pale?!!!
 

Huwezi muelewa ukiwa CCM
 
Lissu yupo sahihi... Mungu alitupa akili tuzitumue kupambana na mazingira ... huwezi kujikunyata eti unaomba Mungu akuponye ....hivi Mataifa wanaokufa kwa Korona wao hawana Mungu, au Mungu hawapendi.... Kama hatupimi CORONA, Ni wangapi wanakufa, wangapi wanaugua..... na nani anathubutu kuitangaza!

Hivi Kama Kenya watu wanaugua, sisi tuna Kinga ngani!?
 
Hakika nimeamini Lissu December anarudi belgium kutubiwa
 
Kura za ubunge na uraisi zitasafirishwa kwenda kuhesabiwa jimboni, hazitahesabiwa kwenye vituo vya kupigia kura


Kura za udiwani zitasafirishwa kwenda kuhesabiwa makao makuu ya kata (katani)

Wapinzani hampati kitu.

Kuweni makini
Kwa Nini unasema hakuna kitu, unaamini CCM wataiba kura?
 
Mawazo mgando hayo!! Kipindi kile bashite alipoanzisha zoezi lake la kuwakamata mashoga!! Serikali mbona iliwajibu hao mabeberu, kuwa ule ulikuwa sio msimamo wa serikali, na zoezi likaishia pale pale?!!!
Si unaona wamehukumiwa mashoga waliokamatwa sasa uoninkama serikali ipo kazini
 
Katika uchaguzi huu ni lazima watu waiite maji "ma" spana za Tundu Lissu si za mchezo.
Katika uchaguzi huu ni lazima watu waiite maji "ma" spana za Tundu Lissu si za mchezo.
Inawezekana kwa kuwa huyo Lissu Kibaraka wa mabeberu na msaliti kwa nchi yake ni laghai, mwongo na asiyejua kitu..Leo anasema hivi na kesho anasema kile..hawezi kushinda uchaguzi huu..ataanguka vibaya, na huu ndio utakuwa mwisho wake...
 
Ni ujinga wa hali ya juu kusema imendoka Tanzania kwa sababu ya kusali. Na ni ujinga wa hali ya juu kufikiri Mungu anaweza kuchezewa na mtu mwenye tuhuma za mauaji kama Magufuli.
 
Mimi ni mwamini sana wa uwezo wa Mungu katika kutenda miujiza, lakini sitaki watu wanzushie Mungu, yasiyomhusu, Mungu hahitaji kusaidiwa au kupigiwa chapuo na mwanadamu, uwezo wake unatosha. Hali ya corona Tz haitofautiani na Malawi, Msumbiji, Congo, Uganda,nk. Tulichofanya sisi Tz ni kuamua kutohesabu maambukizi, basi. Na jambo hili ni upuuzi mkubwa kwani takwimu za walioambukizwa hazipo. Mataifa mengine yana takwimu na takwimu hizi ni muhimu katika kujifunza namna za magonjwa. Hapa kwetu ameamua kutohesabu wagonjwa halafu anasema Mungu ameondoa corona, upuuuzi mkubwa!
 
Sasa mbona yeye Lissu hatumuoni kuvaa mask na anashikana mikono na watu hovyo tu kwa kifupi hana hofu na corona,sasa ushamuuliza huo ujasili wa kutofuata taratibu za kujikinga na corona anaupata wapi wakati hapo Kenya watu wanaumwa?
 
Raisi ajaye!.
corona haikuiathiri afrika kwa sababu za kijografia siyo Tanzania tu. Nchi nyingi za afrika hazikuathirika,
tumuache Mungu apumzike
Aikuathiri how wakati Kenya wamekopa Dola Bilioni 2.4 ambazo ni sawa na Trilioni 6 za kitanzania kwa sababu ya kupambana na Corona sasa uoni fedha yote hiyo ingetosha kutengeneza barabara kuu nchi nzima
 
Kwani wewe siyo mjinga zaidi? Mungu ndiyo alikutuma kwenda kumpiga risasi?
 
Usilopoke Magufuli ni Mtu safi in Mwana FA Voice Alhabib mtu wa peponi
Mtu safi ndiyo hujenga Chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? Mtu safi ndiyo hupita trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara? Mtu safi ndiyo hubariki Ndungai kupiga bilion 12 akiwa India peke yake? Mtu safi ndiyo huwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…