Magufuli ni mkristo, Mkatoliki kanisani anaenda kufanya ni nini na damu za watu aliso mwaga?Kanisani huwa anaenda kufanya nini kama anaamini Mungu hawezi kusikiliza maombi yetu?
Kwani yeye isingekuwa Mungu kumponya leo hii angekuwa hai?
Sisi Wakatoliki ( Lissu akiwemo) katika kila misa baada ya mahubiri na kurudia kukiri imani yetu hufuata maombi ambapo waamini humuomba Mungu mambo mbalimbali ikiwemo kutuponya na magonjwa na majanga mbalimbali nk. Sasa yeye inaonyesha kuna mambo hakubaliani nayo. Mimi nadhani pengine aliishaacha kwenda kanisani ila sababu ya uchaguzi imebidi aende kanisani kama geresha ili wakristo wasimstukie; baada ya uchaguzi ataacha kwenda. Ni kama vile huko nyuma alipokuwa anamtukana Nyerere lakini kwa ajili ya kugombea urais akaanza kumsifia Nyerere ili watanzania wampe kura.
Watanzania wakiingia mkenge wampe kura watajuta.