hivi lengo la swali kama hili ni nini?

Time will tell. It is about life experience. Uzee dawa. Endelea kusubiri Mr. right apatikane.
 
Nadhani ni maswali ambayo ni 'rhetorical'...yaan tumeyazoea japo hayamaanishi kiviile..
Ni sawa kama zamani mgeni akitoka kijijini swali lilikuwa ..'vipi mvua zinanyesha'?..tulikuwa hatujiulizi kipindi!
..na hata ukiolewa watakuuliza..'vipi mna watoto wangapi vile'?
Mkizaa m1 na mkakaa muda mrefu bila kuzaa watakuuliza..'bado mna m1 tu'?
..Inabidi kuzoea..
 
no Kaizer katika hao walioniuliza maswali hayo hakuna aliyenitongoza make me huwa serious nkikutana na issue kama hyo. pia huwa nawahi kuwatambua km anataka ku-develop interest kwangu. akikutana na ndita obvious hawezi nieleza ujinga make kutongozwa hovyo hutokana na the way mtu anavyoji-keep. kimaongezi na hata kimavazi na mazoea pia!

Well said
 
Last edited by a moderator:
mzabzab na mito umri bdo basi tu wananiona km mkubwa vile make nina mwili mkubwa mkubwa. na si kwamba nimechelewa bdo kabisa tena expire date ni baada ya 5yrs ndo naeza sema nimechelewa ama nimechoka!
 
Last edited by a moderator:
Lol! Umenichekesha!
Aisee nna kakangu kimeo hivi, naomba nikupambanishe nae. Manake nae anaulizwa hadi anataka kurusha ngumi. He is good looking, settled lakini anaulizwa maswali hadi na watu aliowazidi 20 years ya umri.
Its upsetting, but the best way ya kujibu swali hilo ni kumuambia akuoe mke wa pili or else akupe kijana wake!
 
Nadhani ni maswali ambayo ni 'rhetorical'...yaan tumeyazoea japo hayamaanishi kiviile..
Ni sawa kama zamani mgeni akitoka kijijini swali lilikuwa ..'vipi mvua zinanyesha'?..tulikuwa hatujiulizi kipindi!
..na hata ukiolewa watakuuliza..'vipi mna watoto wangapi vile'?
Mkizaa m1 na mkakaa muda mrefu bila kuzaa watakuuliza..'bado mna m1 tu'?
..Inabidi kuzoea..

ok,itanilazimu!
 
Lol! Umenichekesha!
Aisee nna kakangu kimeo hivi, naomba nikupambanishe nae. Manake nae anaulizwa hadi anataka kurusha ngumi. He is good looking, settled lakini anaulizwa maswali hadi na watu aliowazidi 20 years ya umri.
Its upsetting, but the best way ya kujibu swali hilo ni kumuambia akuoe mke wa pili or else akupe kijana wake!

hebu nipm no.yake. teh teh. . . ukimwambia akuoe mke wa pili afu akikubali je. kha nani ataka mambo ya ukewenza!
 
hili swali huwa linanikera sana najua majibu ninayowapaga.Ye sio baba yangu wala hajui magumu niliyopitia anauliza.mbona wale wanaojua mbivu na mbichi za maisha yangu hawaulizi?Eti ukiwa 30 umechoka nani kakwambia inategemea kama unatumika sana am aged and stlii chich mpaka viserengeti vinaleta proposal.life is whatt you make it bwana.nikiangalia mabinti nliwazidi miaka 8 wengi wamechuja.
 
umeona eeh, wapuuzi square!
 
Hehehe! Ukimshindwa usijirudishe kwangu plz. Ngoja nikupe aku-interrogate kwanza!
Akikubali mzee kukuoa wa pili muambie akupe bank statement zake za miezi 3. Mie nitakuwa auditor, anatutoa dinner 4 kumjadili afu tumam-disqualify tunamuacha solemba.
hebu nipm no.yake. teh teh. . . ukimwambia akuoe mke wa pili afu akikubali je. kha nani ataka mambo ya ukewenza!
 
Dada mchangamfu unanichekesha unaposema expiring date bado....nimemkumbuka mama yangu mdogo ambaye elimu yake ni ndogo basi alikuwa na maswali kama hayo kwetu...

Sasa alikuwa anatutisha na kweli vitisho vyake vili stick mpaka leo huwa najichunguza kuona lini naexpire.

Anasema kuna umri binti anakuwa anavutia wanaume kama ua na nyuki...kipindi cha kuchanua. Kipindi hicho eti hata ukioga maji yanateleza.Lol.

Anasema sasa ukijishahau tu kikapita bila kuolewa jua kuolewa kwako itakuwa ngumu kwani mvuto unakuwa umeshaisha.

Basi amenifanya kila nikioga nijiangalie maji yanateleza au yanabaki mwilini.Lol.
mzabzab na mito umri bdo basi tu wananiona km mkubwa vile make nina mwili mkubwa mkubwa. na si kwamba nimechelewa bdo kabisa tena expire date ni baada ya 5yrs ndo naeza sema nimechelewa ama nimechoka!
 
hzo quiz hazfai hata kidogo, kwanza waanze kuozesha mabinti zao, hata ivo dunia ya sasa niya maamuz binafsi tulia umpate hata wa uzeeni inaswaga 2.
 
Back
Top Bottom