hivi lengo la swali kama hili ni nini?

Kimsingi si kweli kwamba wanataka kujua kama hujaolewa ama la ila lengo ni kujua status yako wapate pa kuanzia.ww .ww hujiulizi mbona hawakuulizi kam una kazi?
 
mzabzab na mito umri bdo basi tu wananiona km mkubwa vile make nina mwili mkubwa mkubwa. na si kwamba nimechelewa bdo kabisa tena expire date ni baada ya 5yrs ndo naeza sema nimechelewa ama nimechoka!

me too al b 30 in 5 years to kam..bt insha'allah i wud love to b weded during my 26.
 
Last edited by a moderator:
hili swali huwa linanikera sana najua majibu ninayowapaga.Ye sio baba yangu wala hajui magumu niliyopitia anauliza.mbona wale wanaojua mbivu na mbichi za maisha yangu hawaulizi?Eti ukiwa 30 umechoka nani kakwambia inategemea kama unatumika sana am aged and stlii chich mpaka viserengeti vinaleta proposal.life is whatt you make it bwana.nikiangalia mabinti nliwazidi miaka 8 wengi wamechuja.

kwa hiyo upo above 30? If yes, i have to gv u my bro akuoe..please!
 
Dada mchangamfu unanichekesha unaposema expiring date bado....nimemkumbuka mama yangu mdogo ambaye elimu yake ni ndogo basi alikuwa na maswali kama hayo kwetu...

Sasa alikuwa anatutisha na kweli vitisho vyake vili stick mpaka leo huwa najichunguza kuona lini naexpire.

Anasema kuna umri binti anakuwa anavutia wanaume kama ua na nyuki...kipindi cha kuchanua. Kipindi hicho eti hata ukioga maji yanateleza.Lol.

Anasema sasa ukijishahau tu kikapita bila kuolewa jua kuolewa kwako itakuwa ngumu kwani mvuto unakuwa umeshaisha.

Basi amenifanya kila nikioga nijiangalie maji yanateleza au yanabaki mwilini.Lol.

mamako mdogo? Tel ha nampenda and pls mwambie aendelee kukupa mawaidha, utaona umuhimu wake in the future.
 
KUNA KAWIMBO KAZURI SN KA ENZI ZILE KANASEMA " msichana mrembo wa sura kitugani kinakufanya usiolewe" Kana maneno mengine mazuri sana......tatizo wasichana wa siku hizi wanaona kuolewa ni utumwa hivyo huona bora awe na maisha yake lkn awe na watoto
 
mpe moyo ,kuolewa kuna thamani na heshima yake hili wanalitambua wale ambao muda umewaacha na wanaililia nafasi japokuwa ndoa nyingine ni ndoano
 
habari za jumapili wapendwa, natumai wengi wetu tumetoka church na wengne tumepumzika na kuna wengne wapo mzigon km mie hapa. nisiwachoshe. . .
nimewahi kukutana na baadhi ya akina baba ninaofahamiana nao na kuwaheshimu wenye mabinti wa rika langu wakiniuliza swali hili. . hv umeshaolewa? kwanini hujaolewa ama unachagua sana wachumba? na wananisisitiza kuolewa na wananisisitiza kutochagua sana. hv huwa wanamaanisha nini, kwani me suala la kuolewa ni maamuzi binafsi kwanini wao wanishadidie? kwani lazima?

Jibu sahihi litatolewa na hao wababa wa rika la baba yako hivyo ni vema ungetoa na umri wao ili wa umri huo ndani ya JF wakupe jawabu murua!!
 
Watu wengine hua wanazeeka vibaya instead ya kuwa na busara wao wanakua wambea!
 
Back
Top Bottom