Hivi kwenye hizi massage za huku Dar hawaogopi UKIMWI?

Pengi nafanya body to body 80000 alafu sex 60000 nalipa laki na arobaini
Naweza kulingana na kazi nayofanya kwa siku natoka na faida laki 4 paka laki saba

Sawa kijana wa miaka 25 unayetaka kuondoka kwa boss wako na kwenda kupanga

Hizo pesa za siku laki 4 nakushauri wekeza kijana muda utakuhukumu zikikata......woote watakukimbia na kukucheka.....wekeza hata nyumba kawaida upangishee ......pembezonii huko nunua kiwanja jenga vyumba hata 50 utanishukuru baadaerr
 
Mwanangu ayo ni mambo ya zamani nilishapata maisha siku nyingi paka yule boss alishakufa
 
Jamani kusema ukweli Mimi ni mpenzi sana wa kufanya massage kwa wiki nafanya hata mara 4

Na nikifanya massage siwezi kumuacha salama aliyenipa huduma kwasababu kwanza ni wazuri sana

Shida kubwa kila naye sex naye kwenye hizo massage awataki kutumia Kinga kabisa
Yani ukimuambia akalete Kinga anajivuta sana na akija anakuuliza ata mara 3 unavaa Kinga au tufanye hivyo hivyo wakati umemuambia kabisa akalete Kinga

Yani najiuliza kichwani kila mteja anakuja ndio hivyo hivyo au inakuwa aje wao awana uoga kabisa na ukimwi
Daah...
 
Hizo pesa za siku laki 4 nakushauri wekeza kijana muda utakuhukumu zikikata......woote watakukimbia na kukucheka.....wekeza hata nyumba kawaida upangishee ......pembezonii huko nunua kiwanja jenga vyumba hata 50 utanishukuru baadaerr
Afadhali na wewe umeongea ata kitu Cha maana
 
Huu ni uongo kwa 100%
Nenda kawadanganye vijana wanao balehe huko kijijini kwenu ambao hawapajua Dar na wala hawajui chochote kuhusu hizo massage
 
Jamani kusema ukweli Mimi ni mpenzi sana wa kufanya massage kwa wiki nafanya hata mara 4

Na nikifanya massage siwezi kumuacha salama aliyenipa huduma kwasababu kwanza ni wazuri sana

Shida kubwa kila naye sex naye kwenye hizo massage awataki kutumia Kinga kabisa
Yani ukimuambia akalete Kinga anajivuta sana na akija anakuuliza ata mara 3 unavaa Kinga au tufanye hivyo hivyo wakati umemuambia kabisa akalete Kinga

Yani najiuliza kichwani kila mteja anakuja ndio hivyo hivyo au inakuwa aje wao awana uoga kabisa na ukimwi
Acha uongo
 
Hizo pesa za siku laki 4 nakushauri wekeza kijana muda utakuhukumu zikikata......woote watakukimbia na kukucheka.....wekeza hata nyumba kawaida upangishee ......pembezonii huko nunua kiwanja jenga vyumba hata 50 utanishukuru baadaerr
Unamshauri mtu ambaye hana hata hela ya kununua boxer ya afu 3. Unapoteza muda tu

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom