Hivi kwenye bomba la mafuta ya Uganda, Tanzania itakwangua kiasi gani kwa kila tone linalofika bandari ya Tanga ?

Hivi kwenye bomba la mafuta ya Uganda, Tanzania itakwangua kiasi gani kwa kila tone linalofika bandari ya Tanga ?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1,910
Reaction score
5,450
1756764455993.png

Pamoja na madhaifu yetu najua wenye nchi hawakuwa wachovu kwenye ku negotiate.

Ni kiasi gani kina Museveni na Muhoozi wanakiacha ili mafuta yao yafike Tanga ?
 
View attachment 3461848

Pamoja na madhaifu yetu najua wenye nchi hawakuwa wachovu kwenye ku negotiate.

Ni kiasi gani kina Museveni na Muhoozi wanakiacha ili mafuta yao yafike Tanga ?
Kwa kila tone!!...hatujafikia huko....

ILA...

Tanzania imepata takriban TZS bilioni 181 kupitia ada, kodi na ushuru mbalimbali katika hatua za mwanzo tu za utekelezaji wa mradi huu. Mpaka sasa mradi umefikia 55% ya utekelezaji.
 
Back
Top Bottom