Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
Waungwana kwa matokeo yanayoendelea kutolewa na tume, bado ninawasiwasi na watanzania kama kweli wanataka kujenga nyumba bora.
Slaa aliahidi kushusha bei ya simenti na bati, lakini kinachoendelea inaonyesha watu hawataki kujenga, bali wana shida na t-shirt za bure, kofia, khanga, nusu kilo ya sukari na viwanja vya ndege.:thinking: