Elections 2010 Hivi kweli Watanzania hawataki kujenga nyumba bora kwa bidhaa bei poa?

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Waungwana kwa matokeo yanayoendelea kutolewa na tume, bado ninawasiwasi na watanzania kama kweli wanataka kujenga nyumba bora.
Slaa aliahidi kushusha bei ya simenti na bati, lakini kinachoendelea inaonyesha watu hawataki kujenga, bali wana shida na t-shirt za bure, kofia, khanga, nusu kilo ya sukari na viwanja vya ndege.:thinking:
 
Watanzania walimchagua dr.slaa, hapa kuna namna ngoja tusubiri!!
 
Tena tusikie raia anasema bei ya cement iko juu ni bakora kwa mtindo mmoja
 
Wengi wa watanzania hawajazoea ahadi kama alizotoa dr slaa , wanafikiri anasema uongo.wao wanataka hongo ya papo kwa papo. T-shirt, kofia, shs mia tano . Basi hakuna kingeni, wacha tuendelee kulalia ngozi.
 
Waungwana kwa matokeo yanayoendelea kutolewa na tume, bado ninawasiwasi na watanzania kama kweli wanataka kujenga nyumba bora.
Slaa aliahidi kushusha bei ya simenti na bati, lakini kinachoendelea inaonyesha watu hawataki kujenga, bali wana shida na t-shirt za bure, kofia, khanga, nusu kilo ya sukari na viwanja vya ndege.:thinking:

Nadhani ndio utakubali kuwa asilimia kubwa ya wananchi wa Tz ni mambumbumbu na masikini wa kutupwa, matajiri wachache ni mafisadi na baadhi ya wananchi hata wale waliosoma kidogo wanajipendekeza kwa wakubwa. Kipi rahisi kutekeleza, kutoa ruzuku na kupunguza kodi ili simenti na bati zishuke bei au kujenga viwanja vya ndege kwenye mikoa ambayo hata wananchi wake bado hawana hata barabara na nauli za ndege????:doh:
 
TULIMCHAGUA SLAA. nakumbuka nilikuwa kwenye customer care wakati wa uchaguzi. watu wengi walikuwa wanapiga simu kutaka kujua ulinzi wa kura za uraisi au la waache kupiga kura.
Kuna kitu kikwete na usalama wa taifa wanakijua ila wanalazimisha hali fulani ili waweze kutimiza kiu yao ya KUMWAGA damu za watanzania.
wanajua kutumia silaha na propaganda zao. ila sisi tunamtumia Mungu na akili zetu
 
Baba mkwe wake analala katika kiheme cha udongo kilichoezekwa kwa nyasi,leo aje akufanye wewe mkurya ujenge nyumba ya tofali kashindwa nini kumjengea mkwewe?!Huyo ni mzee wa porojo hana tofauti na ze komedi 2
 
Back
Top Bottom