Fabian the Jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 756
- 738
Naomba nikuulize swali mkuu, umekiri kwamba mfumo wetu wa elimu una matatizo makubwa. Good!Hivi ubora wa elimu unaletwa na matamko? acheni kushangilia mambo yasiyo na maana, hatuna viongozi visionary, wenye kujua lipi linatakiwa lianze na lipi liwe la mwisho, mfumo wetu wa elimu una matatizo makubwa siyo hayo ya udahili peke yake, ata ukibadilisha mfumo wa udahili matatizo ya ubovu wa elimu yetu hauwezi kuisha. Tatizo letu hatuna exposure, hatujui wenzetu wenye mafanikio katika hilo eneo wanafanya nini. TUKATAE UJINGA.
Nifah: naamini unaendesha maisha yako kwa kujiwekea malengo na kuyapima kwa vigezo km hata mwenzi wako ulimchagua kwq vigezo vyako na utamwacha akishindwa kufikia malengo yako!....
Kama umeshapata degree yako kaa kimya....Hivi watu hawatakuwa wakijiendeleza kielimu tena?
Nchi gani hii jamani?
Dada naomba nikuulize swali tafadhali, wewe unafurahia mfumo wetu wa elimu ulivyo?Aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa.
Kama umeshapata degree yako kaa kimya wanaopinga wana sababu zao za msingi.
Hivi watu hawatukuwa wakijiendeleza kielimu tena?
Nchi gani hii jamani?
Mbaya zaidi hata wale waliopitia hizo foundations course limetoka tamko la kuwatimua makazini!
Hilo nalo unasemaje?
akikujibu ni tagNaomba nikuulize swali mkuu, umekiri kwamba mfumo wetu wa elimu una matatizo makubwa. Good!
Suppose tunakuchukua wewe tunakupa uwaziri wa elimu. Ni kitu gani ambacho utaanza nacho au ni nini ambacho utakifanya ndani ya mwaka wako wa kwanza wa utumishi wako.
Mi nafikiri kama kuna watu ambao wanasimama na kupinga kile alichokisema huyu mama basi ni kielelezo tosha kuthibitisha kwamba tanzania ndio nchi ya mwisho kuwa na watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiria duniani, IQ ndogo zaidi duniani.
Jamani watanzania tunataka nini? Ni nani ataweza kunijibu hili swali? Tunajua tunachokitaka kweli? Kipindi cha Kikwete ni sisi ambao tulikuwa tunalaumu kila kukicha, oooh elimu imeshuka thamani, oooh siku hizi degree kitu gani, oooh form six kitu gani, oooh serikali imeshusha thamani ya elimu.
Hebu tujiulize ni nini ambacho serikali hii imekikosea?
Ni kweli mfumo wetu wa elimu ulikuwa ushakuwa mbovu, na sisi tuliufuata vile vile tukasoma izo foundation course, tukasoma degree kwa shortcut, sasaivi jamaa amakuja anarekebisha tunaona anatugusa so tunaona anakosea. Hatuwezi kuendelea kwa namna hii. Mama anaweka msingi tu wa kuboresha elimu yetu, kuinua thamani ya elimu yetu lakini ona sasa watu wanasimama na kuanza kupinga.
Kwani Mama ndalichako anafanya hayo kwa ajili ya nani? Anasema mtu wa degree siku izi akivaa joho hata haina radha tena maana hata mtoto wa awali akimaliza anavaa joho watu wanasimama wanapinga. Tukiambiwa sisi ni vilaza wa mwisho duniani tunakataa.
Kwa ujinga huu hatufiki popote.
Naomba nikuulize swali mkuu, umekiri kwamba mfumo wetu wa elimu una matatizo makubwa. Good!
Suppose tunakuchukua wewe tunakupa uwaziri wa elimu. Ni kitu gani ambacho utaanza nacho au ni nini ambacho utakifanya ndani ya mwaka wako wa kwanza wa utumishi wako.
Ww jamaa bure kabisa kwa taarifa yako sasa hao Wahandisi wanazalishwa kutokea hapo UDSM wengi ni freshers from form six Hao wako based theoretically zaidi huwezi kumlinganisha na muhandisi alietokea Technical college huyu kaianza kazi mapema sana hvo yuko effectively ktk practical ambazo ndio kazi zenyewe sasaDada naomba nikuulize swali tafadhali, wewe unafurahia mfumo wetu wa elimu ulivyo?
Unafurahia unapomuona mtu anaesema amesoma miaka minne chuo kikuu cha dar es salaam akichukua fani ya uhandisi wa ujenzi lakini hawezi hata kujenga daraja la mbao?
Unafurahia unapoenda mahospitalini unakuta wagonjwa wamejazana na manesi hao waliofundishwa kwa shortcuts wakichat tu kwenye simu zao?
Commooon guys, sawaaa inatuumiza kwa sababu inatuforce tufanye hard way, inatufanya tuchukue njia ngumu, lakini mataifa yooote yaliyofanikiwa kwenye vitu vya msingi kama elimu wana discpline.