Hivi kweli unasimama na kumpinga Ndalichako?

Fabian the Jr

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
756
737
Mi nafikiri kama kuna watu ambao wanasimama na kupinga kile alichokisema huyu mama basi ni kielelezo tosha kuthibitisha kwamba tanzania ndio nchi ya mwisho kuwa na watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiria duniani, IQ ndogo zaidi duniani.

Jamani watanzania tunataka nini? Ni nani ataweza kunijibu hili swali? Tunajua tunachokitaka kweli? Kipindi cha Kikwete ni sisi ambao tulikuwa tunalaumu kila kukicha, oooh elimu imeshuka thamani, oooh siku hizi degree kitu gani, oooh form six kitu gani, oooh serikali imeshusha thamani ya elimu.
Hebu tujiulize ni nini ambacho serikali hii imekikosea?

Ni kweli mfumo wetu wa elimu ulikuwa ushakuwa mbovu, na sisi tuliufuata vile vile tukasoma izo foundation course, tukasoma degree kwa shortcut, sasaivi jamaa amakuja anarekebisha tunaona anatugusa so tunaona anakosea. Hatuwezi kuendelea kwa namna hii. Mama anaweka msingi tu wa kuboresha elimu yetu, kuinua thamani ya elimu yetu lakini ona sasa watu wanasimama na kuanza kupinga.

Kwani Mama ndalichako anafanya hayo kwa ajili ya nani? Anasema mtu wa degree siku izi akivaa joho hata haina radha tena maana hata mtoto wa awali akimaliza anavaa joho watu wanasimama wanapinga. Tukiambiwa sisi ni vilaza wa mwisho duniani tunakataa.

Kwa ujinga huu hatufiki popote.
 
sawa kabisa mkuu,ujue watu wengi wanaleta siasa katika mambo ya kweli kabisa kwenye maendeleo.
 
Aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa.
Kama umeshapata degree yako kaa kimya wanaopinga wana sababu zao za msingi.

Hivi watu hawatakuwa wakijiendeleza kielimu tena?
Nchi gani hii jamani?

Mbaya zaidi hata wale waliopitia hizo foundations course limetoka tamko la kuwatimua makazini!
Hilo nalo unasemaje?
 
Hivi ubora wa elimu unaletwa na matamko? acheni kushangilia mambo yasiyo na maana, hatuna viongozi visionary, wenye kujua lipi linatakiwa lianze na lipi liwe la mwisho, mfumo wetu wa elimu una matatizo makubwa siyo hayo ya udahili peke yake, ata ukibadilisha mfumo wa udahili matatizo ya ubovu wa elimu yetu hauwezi kuisha. Tatizo letu hatuna exposure, hatujui wenzetu wenye mafanikio katika hilo eneo wanafanya nini. TUKATAE UJINGA.
 
Naomba nikuulize swali mkuu, umekiri kwamba mfumo wetu wa elimu una matatizo makubwa. Good!

Suppose tunakuchukua wewe tunakupa uwaziri wa elimu. Ni kitu gani ambacho utaanza nacho au ni nini ambacho utakifanya ndani ya mwaka wako wa kwanza wa utumishi wako.
 
....
Kama umeshapata degree yako kaa kimya....Hivi watu hawatakuwa wakijiendeleza kielimu tena?
Nchi gani hii jamani?
Nifah: naamini unaendesha maisha yako kwa kujiwekea malengo na kuyapima kwa vigezo km hata mwenzi wako ulimchagua kwq vigezo vyako na utamwacha akishindwa kufikia malengo yako!

Binadamu gani sisi jamani?
 
Aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa.
Kama umeshapata degree yako kaa kimya wanaopinga wana sababu zao za msingi.

Hivi watu hawatukuwa wakijiendeleza kielimu tena?
Nchi gani hii jamani?

Mbaya zaidi hata wale waliopitia hizo foundations course limetoka tamko la kuwatimua makazini!
Hilo nalo unasemaje?
Dada naomba nikuulize swali tafadhali, wewe unafurahia mfumo wetu wa elimu ulivyo?

Unafurahia unapomuona mtu anaesema amesoma miaka minne chuo kikuu cha dar es salaam akichukua fani ya uhandisi wa ujenzi lakini hawezi hata kujenga daraja la mbao?

Unafurahia unapoenda mahospitalini unakuta wagonjwa wamejazana na manesi hao waliofundishwa kwa shortcuts wakichat tu kwenye simu zao?

Commooon guys, sawaaa inatuumiza kwa sababu inatuforce tufanye hard way, inatufanya tuchukue njia ngumu, lakini mataifa yooote yaliyofanikiwa kwenye vitu vya msingi kama elimu wana discpline.
 
Naomba nikuulize swali mkuu, umekiri kwamba mfumo wetu wa elimu una matatizo makubwa. Good!

Suppose tunakuchukua wewe tunakupa uwaziri wa elimu. Ni kitu gani ambacho utaanza nacho au ni nini ambacho utakifanya ndani ya mwaka wako wa kwanza wa utumishi wako.
akikujibu ni tag
ila nahisi atakuambia maslahi ya walimu tu
 
Mimi namuunga mkono ila tu napingana na tamko la wale waliopitia foundation courses kutimuliwa kazini kwasababu wakati wanasoma kwa style hiyo utaratibu ulikuwa unawaruhusu.
Sasa labda waseme kuanzia sasa huo utaratibu umefutwa lakini waliosoma kwa utaratibu huo awali basi waendelee na kazi zao.
 
Mi nafikiri kama kuna watu ambao wanasimama na kupinga kile alichokisema huyu mama basi ni kielelezo tosha kuthibitisha kwamba tanzania ndio nchi ya mwisho kuwa na watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiria duniani, IQ ndogo zaidi duniani.

Jamani watanzania tunataka nini? Ni nani ataweza kunijibu hili swali? Tunajua tunachokitaka kweli? Kipindi cha Kikwete ni sisi ambao tulikuwa tunalaumu kila kukicha, oooh elimu imeshuka thamani, oooh siku hizi degree kitu gani, oooh form six kitu gani, oooh serikali imeshusha thamani ya elimu.
Hebu tujiulize ni nini ambacho serikali hii imekikosea?

Ni kweli mfumo wetu wa elimu ulikuwa ushakuwa mbovu, na sisi tuliufuata vile vile tukasoma izo foundation course, tukasoma degree kwa shortcut, sasaivi jamaa amakuja anarekebisha tunaona anatugusa so tunaona anakosea. Hatuwezi kuendelea kwa namna hii. Mama anaweka msingi tu wa kuboresha elimu yetu, kuinua thamani ya elimu yetu lakini ona sasa watu wanasimama na kuanza kupinga.

Kwani Mama ndalichako anafanya hayo kwa ajili ya nani? Anasema mtu wa degree siku izi akivaa joho hata haina radha tena maana hata mtoto wa awali akimaliza anavaa joho watu wanasimama wanapinga. Tukiambiwa sisi ni vilaza wa mwisho duniani tunakataa.

Kwa ujinga huu hatufiki popote.

Kwa ujinga niliokua nao na IQ yangu ndogo nikitoa sababu za kupinga baadhi ya maamuzi na matamko ya waziri huyu hutanielewa kabisa. Nanyamaza!!!!
 
Naomba nikuulize swali mkuu, umekiri kwamba mfumo wetu wa elimu una matatizo makubwa. Good!

Suppose tunakuchukua wewe tunakupa uwaziri wa elimu. Ni kitu gani ambacho utaanza nacho au ni nini ambacho utakifanya ndani ya mwaka wako wa kwanza wa utumishi wako.

Kwanza kabisa nitajiepusha na kutoa matamko,

Pili, nitaenda kujifunza kutoka kwenye nchi zenye ubora wa elimu kujua ni nini wanafanya ili niweze kufanya intervention za haraka,

Tatu, nitafanya tafiti za kisayansi kujua ni namna gani tunaweza kuboresha elimu yetu ili ubora huo uwe hilimivu na endelevu,

Nne, nitashirikisha wadau na kutafuta ushauri wa kisheria kabla na wakati wa kufanya maamuzi ambayo yanaweza kuathiri maisha ya watu na mifumo mizima ya elimu, na

Tano nitakuwa najikumbusha kwamba mimi ni mtumishi wa umma tu na kwamba ofisi niliyopewa ni dhamana na siyo kama biashara yangu binafsi hivyo maamuzi yangu lazima yawe shirikishi na ya haki.
 
Ingependeza vyuo vyote vingefanywa kuwa veta haiingii akilini %80 ya watu wanaomaliza chuo hawana uwezo wa kujiajili afadhali kwa walio enda veta hivi vyuo nikulemaza tu watu
 
Acha akili za kitoto ww ivi ubora wa elimu unaimarika kwa kuboresha mazingira ya kusomea? au kwa kuweka vikwazo vikali vya kufikia mahali pa kusomea (Chuo) Pabovu ,Huyu mama amekuwa mtu wa matamko tu bila kuangalia huko vyuoni kuna vitendea kazi je wanafunzi wanapata effective knowledge au ndio mambo yq kudesa, Aaache kutafuta kick
 
Dada naomba nikuulize swali tafadhali, wewe unafurahia mfumo wetu wa elimu ulivyo?

Unafurahia unapomuona mtu anaesema amesoma miaka minne chuo kikuu cha dar es salaam akichukua fani ya uhandisi wa ujenzi lakini hawezi hata kujenga daraja la mbao?

Unafurahia unapoenda mahospitalini unakuta wagonjwa wamejazana na manesi hao waliofundishwa kwa shortcuts wakichat tu kwenye simu zao?

Commooon guys, sawaaa inatuumiza kwa sababu inatuforce tufanye hard way, inatufanya tuchukue njia ngumu, lakini mataifa yooote yaliyofanikiwa kwenye vitu vya msingi kama elimu wana discpline.
Ww jamaa bure kabisa kwa taarifa yako sasa hao Wahandisi wanazalishwa kutokea hapo UDSM wengi ni freshers from form six Hao wako based theoretically zaidi huwezi kumlinganisha na muhandisi alietokea Technical college huyu kaianza kazi mapema sana hvo yuko effectively ktk practical ambazo ndio kazi zenyewe sasa
 
ashirikishe wadau vp? wkt matatizo yanajulikn, apge kaz aache kupoteza md,
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom