- Thread starter
- #61
nimekutumia pm hahahahaNaomba namba mchumba
nimekutumia pm hahahahaNaomba namba mchumba
hela hela ipo tuu ya kawaida sio ya kukupakiza ndege ipo ya kusuka tuuuKama una hela hakuna shida, hizo tabia zako ni pepo tu litakemewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali ngoja nilikemee pepo kwanza, mke umepatahrl
hela hela ipo tuu ya kawaida sio ya kukupakiza ndege ipo ya kusuka tuuu
Kama una hela hakuna shida, hizo tabia zako ni pepo tu litakemewa
Sent using Jamii Forums mobile app

hayaaa sawa
Hapo lazima upende maana wanawake wanapenda watu wenye tabia hizoKuna nyuzi humu zinasema wanawake wanapenda watu wahuni mkuu subiri mke tu
Utapata tu mkuu, tena wadada ndo haswa wanapenda watu wa aina yakoo, la msingi ongeza na kutafuta pesa ndo utaona matokeo yakeMimi nina kila aina ya sifa ambayo hakuna mwanamke anaipenda muhuni, mkorofi, mgomvi nisiejali na nyingine mbaya tuu nauliza hivi kuna mwanamke wa aina hiyo au asie wa aina hiyo angependa nimuoe.
Natafuta wa kuoa Iam very honesty lakini labda hicho tu ndo maana hata nimeweza kukiri tabia zangu mbovu mbovu.