Hivi kweli nitapata wa kumuoa?

Hivi kweli nitapata wa kumuoa?

Kuoa unaweza ukaoa ila utaweza mtunza mke asikuache?.mana watu wanataka mapenzi sio karaha atii
 
Mkuu pole ila mke utapata tafuta tu mke bora; Mimi Shida yangu kubwa ni kupenda wanawake sana make kwa siku ata nilale na wanawake watano bado sieidhikii tu.

Mungu naomba unisaidie sana.
 
we tafta mtoto mambo yakuoa sio lazima.kuhusu uhuni,usiishi jinsi mtu anavyopenda ishi jinsi unavyopenda kuishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani we hujui tu.... Hizo Ndo sifa wanawake wengi wa siku hizi wanapenda.( sio wote). Mi nina wasiwasi wewe Unajua hili.. Wala hizi sifa huna... Umeeka mtego ili upate manzi kiulaini. Watu wajanja siku hizi
hahahaha kumbe ni mtego huu...atakaenasa shauri yako
 
Mimi nina kila aian ya sifa ambayo hakuna mwanamke anaipenda muhuni..mkorofi, mgomvi nisiejali...na nyingine mbaya tuu nauliza hivi kuna mwanamke wa aina hiyo au asie wa aina hiyo angependa nimuoe natafuta wa kuoa..am very honesty lakin labda hicho tu ndo maana hata nimeweza kukiri tabia zangu mbovu mbovu.
Kumbe unafanya makusudi unajijua kwanini usijizuie kufanya hivyo na kama unashindwa kujizuia basi unamapepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna siku nilimpasua konda wa dala dala of course tulipasuana cuz nlichanika usoni mixer damu ila na yeye alivimba macho na nlimchana sikio kisa ni kidogo tuu alinirudishia change nkasahau nikamdai tena kumbe alishanipa nikaweka mfukoni ndio kunitukana afu ndio ndondi zikaanza kufika home nakuta change iko mfukoni daaaahhh nlicheka sanaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom