Mimi nina kila aina ya sifa ambayo hakuna mwanamke anaipenda muhuni, mkorofi, mgomvi nisiejali na nyingine mbaya tuu nauliza hivi kuna mwanamke wa aina hiyo au asie wa aina hiyo angependa nimuoe.
Natafuta wa kuoa Iam very honesty lakini labda hicho tu ndo maana hata nimeweza kukiri tabia zangu mbovu mbovu.
Natafuta wa kuoa Iam very honesty lakini labda hicho tu ndo maana hata nimeweza kukiri tabia zangu mbovu mbovu.