samalanga
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 336
- 244
Leo nimeenda Hospital mmoja ya mkoa nimefika pale,nikaulizwa Nina bima ni kasema hapana sasa gharama ni kama ifuatavyo;
1.Kufungua faili -2,500/=
2.Kumuona dakitari-10,000/=
3.X-Ray-15,000/=
4.Mazoezi ya viungo-10,000/=
5.dawa vidonge 14,-7,000/=
6.dawa tubu 1,-7000/=
Je hali hii ndiyo kuchangia matibabu au kulipia matibabu? Tofauti ya private na serikali ipo wapi? Maoni tafadhari.