Hivi kweli kuna uwezekano wa Dr. Magufuli kukosa urais?

Amini usiamini Magufuli ndiye kabebeshwa jeneza la CCM umati wa watu unaouona kwenye mikutano yake hayo ni mandalizi ya sherehe ya kuizika CCM.
 
Anamtanguliza Mungu!!!!!?
Hivi unamjua Magufuli wewe au unamsikia tu?Ngoja tunaofahamu mambo tukae kimya kwani sisi wengine hatuwezi kuanika mambo na imani za watu kutokana na kampeni.
Asante kwa hekima yako ndugu. Kwa maana inasemwa no research no right to speak!
 
Ccm mnataka mkae madarakani mpaka kiama yesu atakaporudi,alafu leo hii eti wapinzani wanauroho wamadaraka!.mimi nichague ccm nimelogwa? nyambafu!

Huwezi kusema kitu ambacho huna, inawezekana umelogwa. Kaombewe na wenye mamlaka ya kiimani (Ki-Mungu).
 
Uloi nga mâché68;14339153 said:
Ukawa utakuwa ukiwa oktoba 25

Watakimbiana sana na kusema Mbowe ulituuza, turudishie Slaa wetu. Yaani siku hiyo, mambo yatakuwa hoi kwa ukawa.
 
Back
Top Bottom