Hivi kweli Azam ina mashabiki?

Hivi kweli Azam ina mashabiki?

Wapenzi wa Simba ndio mara nyingi wanajifanya Azam ili kujifariji kwa machungu ya ile timu ya Angola, nimeanza kuwajua Azam toka wakati wanashiriki Kinesi cup uwanja wa urafiki walikuwa wanapata taabu sana wakikutana na chama letu la Monrovia.
 
Mashabiki mbona tupo jamani. Msije mkadhani watu wote tunazipenda Simba na Yanga.

Ndio maana vijana wengi wenyeuelewa tunashabikia AZAM. Unajua watanzania hatujui kitu kimoja. kijana wa leo mwenye miaka kumi akianza kufuatilia mpira wa bongo lazima ataitazama AZAM kama vile JUVENTUS ama BARCA jinsi inavyojiendesha na inavyojitangaza.

Suala ni mpira na mipango ndio inayoleta mashabiki. Chukulieni mfano Barca kabla ya MTAKATIFU RONALDINHO hajatua ilikua inaonekana kawaida tofauti na leo hii watukibao mnaipenda na kuishabikia. Mashabiki wa Azam wapo jamani.

Natumaini Azam itafanya makubwa ambayo hayajawahi kufanywa na kulwa na doto. FORZA AZAM, FORZA JUVENTUS PER SEMPRE.
 
Jamani mbona tupo wengi sana tena kuliko mnavyo fikiri. Azam ndio mkombozi wa soka la wadanganyika. Nina kila sababu ya kuipenda Azam tim pekee yenye uwanja ndani ya danganyika, tim pekee yenye Academy hapo bongo. Sasa simba na mkewe yanga nani mwenye aset hizo? Yanga/simba= siasa. Azam dume lenu, mwakahuu lazima tuchukue chalenji
kwenye red:Mtibwa suger ina uwanja wake binafsi, sio azam tu .NA PIA azam haina uwezo wa kuwa na uwanja wake watajenga kwa kupitia kipato kipi.Uwanja ni wa SS BAKHRESA,mfano cocacola iwe na timu yake alfu iijegee uwanja hiyo timu
 
Mashabiki mbona tupo jamani. Msije mkadhani watu wote tunazipenda Simba na Yanga. Ndio maana vijana wengi wenyeuelewa tunashabikia AZAM. Unajua watanzania hatujui kitu kimoja. kijana wa leo mwenye miaka kumi akianza kufuatilia mpira wa bongo lazima ataitazama AZAM kama vile JUVENTUS ama BARCA jinsi inavyojiendesha na inavyojitangaza. Suala ni mpira na mipango ndio inayoleta mashabiki. Chukulieni mfano Barca kabla ya MTAKATIFU RONALDINHO hajatua ilikua inaonekana kawaida tofauti na leo hii watukibao mnaipenda na kuishabikia. Mashabiki wa Azam wapo jamani. Natumaini Azam itafanya makubwa ambayo hayajawahi kufanywa na kulwa na doto. FORZA AZAM, FORZA JUVENTUS PER SEMPRE.
Jibu maswli yafuatayo:
1.je,una umli gani?
2.kabla ya kuwajua azam haukuwa na timu?
3.Kama ulikuwnayo ni timu gani?
4.Je shbiki anaama timu?
 
kwenye red:Mtibwa suger ina uwanja wake binafsi, sio azam tu .NA PIA azam haina uwezo wa kuwa na uwanja wake watajenga kwa kupitia kipato kipi.Uwanja ni wa SS BAKHRESA,mfano cocacola iwe na timu yake alfu iijegee uwanja hiyo timu

sasa mkuu yahoo na wewe kamuabie manji aanzishe timu ya quality group wakati itakapo anzakula faida mtaishia tu kuongea na kulala mika kijingajinga kama sasa..
 
Mashabiki wa Azam wengi wametoka Simba
 
pole sana kwa mawazo hayo..

Ipo siku ntahitaji critical conversation tena ya uso kwa macho mm na ww uniambie unaijuae azam fc toka kuanza mpk ss na mm nikueleze ninavyoijua. Sorry mm ni mtu wa ndani wa azam shangaa vitimbi km miongoni mwa wakurugenzi kuwa watu wa kutupwa wa ssc (majority) na kandambili (minority). Swali la kipuuzi kwako hv umewahi ht kumpeleka mchezaj pl ktk academy kweli ni mtu wa mpira n nn majibu uliyapata!? Nn kinaitafuna azam?
 
Mashabiki wa Azam wengi wametoka Simba
Mimi ninikua yanga, lakinini nashukuru nimepata ukombozi wa wamawazo nimeiama iyo tim nasiitaki hata kuisikia. Ivi Yanga ndio kidudu gani?
 
Mimi ninikua yanga, lakinini nashukuru nimepata ukombozi wa wamawazo nimeiama iyo tim nasiitaki hata kuisikia. Ivi Yanga ndio kidudu gani?

Wewe Kitoabu kanyee meza kwanza! Quran inasema hakuna mtu anayempenda Ibrahim halafu auchukie Uislam; vivyo hivyo hakuna anayeichukia Yanga isipokuwa yule mnazi wa Msimbazi, Azam ni kichaka tu, sitafuni maneno, wewe ni Simba na wala hujawahi kuwa Yanga.
 
kwenye red:Mtibwa suger ina uwanja wake binafsi, sio azam tu .NA PIA azam haina uwezo wa kuwa na uwanja wake watajenga kwa kupitia kipato kipi.Uwanja ni wa SS BAKHRESA,mfano cocacola iwe na timu yake alfu iijegee uwanja hiyo timu

Hakuna klabu yenye uwanja zaidi ya Yanga, uwanja wa Manungu na Mtibwa Sugar FC wote ni mali ya Mtibwa Sugar Co. Ltd., uwanja wa Chamazi na Azam FC wote ni mali ya SS Bakhressa Group of Companies, kwa taarifa zaidi rejea sheria ya makampuni Cap. 212.
 
Ipo siku ntahitaji critical conversation tena ya uso kwa macho mm na ww uniambie unaijuae azam fc toka kuanza mpk ss na mm nikueleze ninavyoijua. Sorry mm ni mtu wa ndani wa azam shangaa vitimbi km miongoni mwa wakurugenzi kuwa watu wa kutupwa wa ssc (majority) na kandambili (minority). Swali la kipuuzi kwako hv umewahi ht kumpeleka mchezaj pl ktk academy kweli ni mtu wa mpira n nn majibu uliyapata!? Nn kinaitafuna azam?

hilo la kupeleka mtu nishapeleka mambo kama simba na yanga au sehemu yoyote ile bongo kama hufahamiki wanakuotezea ila wanaofanya hivyo wanaondolewa kinyemela na tumai mambo yatakuwa mazuri soon tu na kuhusu kuitafuna sioni kitu kinachoitafuna azam kwani inaendelea poa tu kama unataka kuitafunisha poa tu ni mawazo yako siwezi pingana nayo..
 
Hakuna klabu yenye uwanja zaidi ya Yanga, uwanja wa Manungu na Mtibwa Sugar FC wote ni mali ya Mtibwa Sugar Co. Ltd., uwanja wa Chamazi na Azam FC wote ni mali ya SS Bakhressa Group of Companies, kwa taarifa zaidi rejea sheria ya makampuni Cap. 212.

endeleeni kufikiria hivyohivyo maana tunawapeleka puta balaa karibu liberia ushangilie ushindi leo saa moja usiku mkuu makoye tolu..
 
Mimi ninikua yanga, lakinini nashukuru nimepata ukombozi wa wamawazo nimeiama iyo tim nasiitaki hata kuisikia. Ivi Yanga ndio kidudu gani?

wewe haukua shabiki wa yanga wewe ulikuwa MNAFIKI TU.maana shabiki wa ukweli hawez kuhama tim.hapa ndipo unapo tudhihirishia upumbavu wako.
 
Kwanini unambishia mkuu?
Wewe inaonyesha ni YANGA eh!
yeyote anayependa mpira wa tanzania na mustakali wake lazima ataikubali azam na akishaikubali lazima ataipenda maana inaleta mapinduzi dhidi ya vimeo viwili vinavyoharibu soka letu.
 
yeyote anayependa mpira wa tanzania na mustakali wake lazima ataikubali azam na akishaikubali lazima ataipenda maana inaleta mapinduzi dhidi ya vimeo viwili vinavyoharibu soka letu.

ningekuwa kwenye kompyuta ningekugongea like aiseeee....
 
kuna mtu ninamfaham yupo kwenye kikundi cha ushangiliaji cha azam yeye ni mnazi mkubwa wa yanga,Mechi ya yanga na azam akiwa uwanjani shabiki waazam akitoka wa yanga

Nikubaliana nawe, ila hiyo sample size ni ndogo mno. Kufanya conclusion. Mi simba ila kadri azam wanavyofanya vizuri sikosi mechi zao na nimeaanza kuwapenda. Ni kama demu mkuu, Kadri unavyomjua na akiwa na vitu unavyopenda unajikuta umeanza kupenda. Ndio Azam, ofcourse kwa wapenzi wa soka siongelei washabiki
 
SItaki kuamini kama Azm fc,inamashabiki wa kweli,Minachofaham mashabiki wao ni wa kununuliwa au ni wafanyakazi wa Pale Azm complex yaani wana maslahi na timu.Ninachofanya ni kuwapa pole kwa kupambanisha mioyo yao na pesa,yaani huku shabiki wa simba/yanga lakini unalzimisha kuishanglia timu adui yako uwanjani.Mtapata KISUKALI SHAULI YENU!

azam dam dam
 
Back
Top Bottom