Hivi kweli Azam ina mashabiki?

Hivi kweli Azam ina mashabiki?

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
SItaki kuamini kama Azm fc,inamashabiki wa kweli, Minachofaham mashabiki wao ni wa kununuliwa au ni wafanyakazi wa Pale Azm complex yaani wana maslahi na timu.

Ninachofanya ni kuwapa pole kwa kupambanisha mioyo yao na pesa,yaani huku shabiki wa simba/yanga lakini unalzimisha kuishanglia timu adui yako uwanjani.

Mtapata KISUKALI SHAULI YENU!
 
Lazima itakuwa na mashabiki mkuu, tena wanaoipenda kwa dhati........mimi nilikuwa mshabiki wa ushirika ya Moshi mpaka inapotea katika soka la Tanzania bado naikumbuka, naamini Azam ina mashabiki wengi tu.
 
Lazima itakuwa na mashabiki mkuu, tena wanaoipenda kwa dhati........mimi nilikuwa mshabiki wa ushirika ya Moshi mpaka inapotea katika soka la Tanzania bado naikumbuka, naamini Azam ina mashabiki wengi tu.
kuna mtu ninamfaham yupo kwenye kikundi cha ushangiliaji cha azam yeye ni mnazi mkubwa wa yanga, Mechi ya yanga na azam akiwa uwanjani shabiki waazam akitoka wa yanga
 
kuna mtu ninamfaham yupo kwenye kikundi cha ushangiliaji cha azam yeye ni mnazi mkubwa wa yanga,Mechi ya yanga na azam akiwa uwanjani shabiki waazam akitoka wa yanga

kwahyo ndo ukaconclude wote wapo hvyo..kaz ipo
 
SItaki kuamini kama Azm fc,inamashabiki wa kweli,Minachofaham mashabiki wao ni wa kununuliwa au ni wafanyakazi wa Pale Azm complex yaani wana maslahi na timu.Ninachofanya ni kuwapa pole kwa kupambanisha mioyo yao na pesa,yaani huku shabiki wa simba/yanga lakini unalzimisha kuishanglia timu adui yako uwanjani.Mtapata KISUKALI SHAULI YENU!

karibu chamazi kama unataka kushangilia basi letu bado halijajaa..
 
Ukitaka kujua ukweli wa mashabiki wa Azam fuatilia mechi za Azam pale Chamazi dhidi ya timu yoyote, utapata ukweli. Kuna mechi waliingia watu 9 tu.

Ukiangalia Azam v Yanga/Simba utapata error kubwa sana kwani mashabiki wa Yanga huishangilia Azam ikicheza na Simba, vivyo hivyo mashabiki wa Simba huishangilia Azam ikicheza na Yanga.
 
Halafu mashabiki wengi wa azam ni wanafiki ile mbaya. Ushahidi na hl ninao Haaa hw wanaofanya kazi ktk kampuni ya bakhresa ukiwakuta wanavyojiganya kuiongea vzr kweli utafkr ni kweli lakn wengi wao wachumiatumbo tu.

Usione vijiwe vya kushangilia kama pale magomeni kagera, ubungo bus teminal, maeneo ya chamaz pale hakuna kitu. Mashabiki gani mpk walipwe. Hv timu inanunua mashabiki au mashabiki wanaihangaikia timu. Ss hl kwa azam ni timu inanunua mashabiki. Anyway swali la kipuuzi kwa wanajf kama timu inanunua mashabiki itashindwa kununua ushindi?
 
duu kazi kweli hapa jeiefu azam mara nyingi ni mimi eke yangu waliowengi huniunga mkono sehemu chache sana hapa kila mtu ataongea yake anavojisikia..
 
Halafu mashabiki wengi wa azam ni wanafiki ile mbaya. Ushahidi na hl ninao Haaa hw wanaofanya kazi ktk kampuni ya bakhresa ukiwakuta wanavyojiganya kuiongea vzr kweli utafkr ni kweli lakn wengi wao wachumiatumbo tu. Usione vijiwe vya kushangilia kama pale magomeni kagera, ubungo bus teminal, maeneo ya chamaz pale hakuna kitu. Mashabiki gani mpk walipwe. Hv timu inanunua mashabiki au mashabiki wanaihangaikia timu. Ss hl kwa azam ni timu inanunua mashabiki. Anyway swali la kipuuzi kwa wanajf kama timu inanunua mashabiki itashindwa kununua ushindi?

njoo ununuliwe na wewe kama unapenda azam ikishinda inanunua ikifungwa hawajui lakini ipo siku tu mtaipenda..
 
njoo ununuliwe na wewe kama unapenda azam ikishinda inanunua ikifungwa hawajui lakini ipo siku tu mtaipenda..

Kama kuipenda ningeipenda wkt huoooo siijui nje ndani. Tyr naijua a to z thubutu siwezi kuishabikia wala kuipenda timu kama azam. Kama sio kufilisika kimpira ni nn! Hadi Kombe la mapinduzi unahonga ili ushinde kombe.

Kichekesho zawad ni ndogo kuliko gharama ilizotumia kulichukua. Nonsense. Huo ni mfano mmojawapo ila ipo mingi sana. Au na ww mchumiatumbo unaebebwa kwenye fuso then unapewa buku jero ilihali wajanja wenzenu wachache wanapata furushi kubwa kwenda kukauka koo?
 
Kama kuipenda ningeipenda wkt huoooo siijui nje ndani. Tyr naijua a to z thubutu siwezi kuishabikia wala kuipenda timu kama azam. Kama sio kufilisika kimpira ni nn! Hadi Kombe la mapinduzi unahonga ili ushinde kombe. Kichekesho zawad ni ndogo kuliko gharama ilizotumia kulichukua. Nonsense. Huo ni mfano mmojawapo ila ipo mingi sana. Au na ww mchumiatumbo unaebebwa kwenye fuso then unapewa buku jero ilihali wajanja wenzenu wachache wanapata furushi kubwa kwenda kukauka koo?

pole sana kwa mawazo hayo..
 
duu kazi kweli hapa jeiefu azam mara nyingi ni mimi eke yangu waliowengi huniunga mkono sehemu chache sana hapa kila mtu ataongea yake anavojisikia..
Mzee mwenzangu tuko pamoja ile kinomaa ila chama tangu lianze kuwashika bado sija kanyaga bongo ila nakupataga kupitia hili janvi. Viva AZAM nao tem maj outro quipa no mundo qui vo gostar
 
Mzee mwenzangu tuko pamoja ile kinomaa ila chama tangu lianze kuwashika bado sija kanyaga bongo ila nakupataga kupitia hili janvi. Viva AZAM nao tem maj outro quipa no mundo qui vo gostar

Mkuu, wewe si mkweli, uliahidi kunya juu ya meza Yanga ikiishinda Ruvu Shooting. Kanye kwanza ndipo urudi hapa jamvini.
 
Jamani mbona tupo wengi sana tena kuliko mnavyo fikiri. Azam ndio mkombozi wa soka la wadanganyika. Nina kila sababu ya kuipenda Azam tim pekee yenye uwanja ndani ya danganyika, tim pekee yenye Academy hapo bongo. Sasa simba na mkewe yanga nani mwenye aset hizo? Yanga/simba= siasa.

Azam dume lenu, mwakahuu lazima tuchukue chalenji
 
Back
Top Bottom