Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,942
- 34,980
Ukitaka kujua ukweli wa mashabiki wa Azam fuatilia mechi za Azam pale Chamazi dhidi ya timu yoyote, utapata ukweli. Kuna mechi waliingia watu 9 tu. Ukiangalia Azam v Yanga/Simba utapata error kubwa sana kwani mashabiki wa Yanga huishangilia Azam ikicheza na Simba, vivyo hivyo mashabiki wa Simba huishangilia Azam ikicheza na Yanga.
Azam haina washabiki wa kweli,wengi ni waganga njaa