Hivi kwanini Watanzania huwa mnaanza na kiburi ila hatimaye mnaishia kuiga Wakenya

Bora hivyo sasa umerudi kwenye kucheka Cheka na mipasho nafuu maana povu itakupa presha, ila ukweli unabaki pale, kutokujua kuongea kingereza kunawatesa sana.
Kunatutesa? Angalieni huyu mwehu anajua kitu kinachotutesa watanzania, nacho ni kutokujua kingereza. Hii upUmbavu wala hakuna haja ya kuelekeza, this is a fool that can not be repaired just like many kenyans.
 
Hehehe!! Siwezi nikahamia huko, labda nije tu kukwapua mihela na kugeuza na labda kuwajulia hali dada zenu.
Manzi zenu tu mmewashindwa mpk yule mwenye big booty kaenda kuolewa na taliano....na wataliano kwa kuzibua mitaro Dah

Ova
 
False
 

Hili suala hua linaniumiza mimi binafsi,tena sana!

Sema basi sina uwezo!

CCM ichomwe moto kabisa!

Najilaumu sana!
 
I wish one day tuwe kwenye negotiation nawe nikupige rungu la KICHWA.

Hehehe mbona tena umeacha kucheka cheka, povu zitakupa presha bana, halafu negotiation mimi na wewe wapi na wapi maana hatuendani, labda mwanangu aje kuoa huko na itokee wewe ni mojawapo wa wazee wa kupokea mahari.
 
Nakumbuka mara ya mwisho nilikuwa mjini Mombasa kwa ajili ya kutembea. Nilienda kusajili laini ya safari kwa ajili ya mawasiliano.
Alinichosha mkenya aliyekuwa ananipa huduma kwa kuniuliza kama naelewa kingereza kilichoandikwa kwenye kipeperushi kwa ajili ya kujiunga bundle mbalimbali.
Nilimjibu ya kwamba usikariri kila mtanzania hajui kingereza. Mimi ninafahamu kiswahili fasaha, kingereza kiasi chake, kiarabu kiasi chake na kijerumani kidogo sana.
 
Hehehe mbona tena umeacha kucheka cheka, povu zitakupa presha bana, halafu negotiation mimi na wewe wapi na wapi maana hatuendani, labda mwanangu aje kuoa huko na itokee wewe ni mojawapo wa wazee wa kupokea mahari.

Ahaaa haaa haaa
Du ila JF ni nzuri, hata mtu wa kibera naye ata pretend naye kuwa ni matawi.
Ahaaa haaa haaa
 

Ahaaa haaa haaa
They suffer FROM psychological diseases know as stereotyping and generalisation. These diseases are very dangerous coz they normally accompanied with a bad one known as conservative.
So you can imagine how difficult to deal with such persons.
 

Alikutendea haki maana nimewahi kuona Mtanzania hata ujumbe wa SMS ya mtandao wa simu iliyotumwa kwa Kingereza ikimtesa.
 
Na hao ndio wengi and are worse, hawajui english wala kiswahili.

Haiwezekani maana kingereza tunafundshwa wote kuanzia chekechea, sio kama nyie wengi wenu mnakumbana nacho kuanzia form one, mnaishia kuteseka.
 
Haiwezekani maana kingereza tunafundshwa wote kuanzia chekechea, sio kama nyie wengi wenu mnakumbana nacho kuanzia form four, mnaishia kuteseka.
Tunakumbana nacho form one, sio form four. I know bush kenyans mzee, hawajui english wa swahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…