Hivi kwanini Watanzania huwa mnaanza na kiburi ila hatimaye mnaishia kuiga Wakenya

Bora hivyo sasa umerudi kwenye kucheka Cheka na mipasho nafuu maana povu itakupa presha, ila ukweli unabaki pale, kutokujua kuongea kingereza kunawatesa sana.
Kunatutesa? Angalieni huyu mwehu anajua kitu kinachotutesa watanzania, nacho ni kutokujua kingereza. Hii upUmbavu wala hakuna haja ya kuelekeza, this is a fool that can not be repaired just like many kenyans.
 
Hehehe!! Siwezi nikahamia huko, labda nije tu kukwapua mihela na kugeuza na labda kuwajulia hali dada zenu.
Manzi zenu tu mmewashindwa mpk yule mwenye big booty kaenda kuolewa na taliano....na wataliano kwa kuzibua mitaro Dah

Ova
 
Wakenya mnapiga mikelele sana.
1. Mombasa, wakazi wa mombasa wengi wao hawajui English, muda mwingi hutumia kiswahili.
2. Except Nairobi, the rest of country wanaongea lugha za makabila yao . .... hawajui English wala kiswahili.

Pigeni makelele yenu tu
False
 
Imekua kawaida kule Tanzania wao huchelewa kutekeleza chochote na kutuona ovyoo sisi tunaothubutu, hatimaye wanaishia kufanya mwisho mwisho tena kwa kuhaha..
Kwa mfano kitambulisho cha uraia walijifanya kukikataa enzi zile, lakini leo wanakimbizana kila mmoja akikitafuta awe nacho haswa baada ya tangazo la hivi majuzi kwamba laini za simu zitakatwa ikitokea hujachukuliwa alama za vidole ambayo pia masharti lazima uwe na kitambulisho aidha cha uraia au cha kura.

Tulipochangamkia kingereza kwa kuhakikisha Wakenya wamekua wajanja wa lugha ya kiswahili na kingereza zikiwemo zetu za asili, wakatuita watumwa wa ukoloni kisa tunaongea kingereza, na pia washamba kisa tunaongea lugha zetu za asili. Wakaibuka na dhana kwamba kujua kingereza sio kipimo cha elimu na kujifanya kutokujua umuhimu wa lugha ya kingereza kwa dunia ya leo ambapo mataifa yote yakiwemo China, Urusi n.k. yapo mbioni kuhakikisha raia wao wanazungumza kingereza, maana ndio lugha ya biashara duniani.
Leo hii ukienda pale Dar, shule zimefunguliwa nyingi za english medium zinafundisha watoto kingereza, wajanja wenye hela wamepeleka watoto wao huko ilhali walalahoi wameambiwa wakomae na uzalendo wa kiswahli kwenye shule za saint Kayumba mitaani.
Kwao matangazo ya biashara na ajira unakuta kwenye vigezo imeandikwa lazima anayeomba fursa au nafasi awe na uwezo wa kuzungumza na kuandika kingereza kwa ufasaha.
Kingereza huwatesa sana, unakuta kiongozi, waziri, mkurungezi, jaji n.k. hawezi kujieleza kwenye kongomano la kimataifa, anatetereka na kuyumbayumba ze ze ze

Kuna hili la kufungua soko la Afrika kwa mataifa yote ya Afrika kuungana na kuwa soko moja, wengine tumeungana na mikakati inaendelea kuratibisha, Tanzania imenuna na kawaida wamejilinda kwa kauli zao zile za kawaida, sitashangaa wakija mbio siku za usoni wakitafuta nafasi, ila ndio hivyo, haiwezekani ukabarikiwa na kila kitu, kuna watu wengine ability to analyse and process details huwa very slow....

Hili suala hua linaniumiza mimi binafsi,tena sana!

Sema basi sina uwezo!

CCM ichomwe moto kabisa!

Najilaumu sana!
 
I wish one day tuwe kwenye negotiation nawe nikupige rungu la KICHWA.

Hehehe mbona tena umeacha kucheka cheka, povu zitakupa presha bana, halafu negotiation mimi na wewe wapi na wapi maana hatuendani, labda mwanangu aje kuoa huko na itokee wewe ni mojawapo wa wazee wa kupokea mahari.
 
Nakumbuka mara ya mwisho nilikuwa mjini Mombasa kwa ajili ya kutembea. Nilienda kusajili laini ya safari kwa ajili ya mawasiliano.
Alinichosha mkenya aliyekuwa ananipa huduma kwa kuniuliza kama naelewa kingereza kilichoandikwa kwenye kipeperushi kwa ajili ya kujiunga bundle mbalimbali.
Nilimjibu ya kwamba usikariri kila mtanzania hajui kingereza. Mimi ninafahamu kiswahili fasaha, kingereza kiasi chake, kiarabu kiasi chake na kijerumani kidogo sana.
 
Ahaaa haaa haaa
Du ila JF ni nzuri, hata mtu wa kibera naye ata pretend naye kuwa ni matawi.
Ahaaa haaa haaa
 
Nakumbuka mara ya mwisho nilikuwa mjini Mombasa kwa ajili ya kutembea. Nilienda kusajili laini ya safari kwa ajili ya mawasiliano.
Alinichosha mkenya aliyekuwa ananipa huduma kwa kuniuliza kama naelewa kingereza kilichoandikwa kwenye kipeperushi kwa ajili ya kujiunga bundle mbalimbali.
Nilimjibu ya kwamba usikariri kila mtanzania hajui kingereza. Mimi ninafahamu kiswahili fasaha, kingereza kiasi chake, kiarabu kiasi chake na kijerumani kidogo sana.

Ahaaa haaa haaa
They suffer FROM psychological diseases know as stereotyping and generalisation. These diseases are very dangerous coz they normally accompanied with a bad one known as conservative.
So you can imagine how difficult to deal with such persons.
 
Nakumbuka mara ya mwisho nilikuwa mjini Mombasa kwa ajili ya kutembea. Nilienda kusajili laini ya safari kwa ajili ya mawasiliano.
Alinichosha mkenya aliyekuwa ananipa huduma kwa kuniuliza kama naelewa kingereza kilichoandikwa kwenye kipeperushi kwa ajili ya kujiunga bundle mbalimbali.
Nilimjibu ya kwamba usikariri kila mtanzania hajui kingereza. Mimi ninafahamu kiswahili fasaha, kingereza kiasi chake, kiarabu kiasi chake na kijerumani kidogo sana.

Alikutendea haki maana nimewahi kuona Mtanzania hata ujumbe wa SMS ya mtandao wa simu iliyotumwa kwa Kingereza ikimtesa.
 
Na hao ndio wengi and are worse, hawajui english wala kiswahili.

Haiwezekani maana kingereza tunafundshwa wote kuanzia chekechea, sio kama nyie wengi wenu mnakumbana nacho kuanzia form one, mnaishia kuteseka.
 
Haiwezekani maana kingereza tunafundshwa wote kuanzia chekechea, sio kama nyie wengi wenu mnakumbana nacho kuanzia form four, mnaishia kuteseka.
Tunakumbana nacho form one, sio form four. I know bush kenyans mzee, hawajui english wa swahili.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom