Hamia Tz unaipenda sana unaifuatilia kwa ukaribu kuliko hata wazawa...
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Nchi za kiume tu ndio zinatumia lugha zake za asili kama lugha za mawasiliano.kama mwanaume anavyotumia ubini wa ukoo wake.Hamna sehemu ambayo huwa nakudharau na kukuona una exposure ndogo kama kupima uwezo wa mtu kwa kutumia kiingereza.
Juzi nilikuwa naangalia kipindi fulani katika channel inaitwa CCTV ya china walikuwa wakijadili kadhia ya rushwa katika kujiunga na elimu ya juu nchini Marekani. Walimuunganisha Le Profeser mmoja toka Ufaransa, ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Elimu nchini humo alikuwa akiongea a very basic english language, is and was... he was actually struggling. But he was not feeling sorry for not being fluent in the queen's language. This same applies to Chinese, Japanese, Russians, even the people of continental europe or scandinavia, everywhere I travelled. But for you Kenyans, you feel speaking english is elevating you to angelhood. You feel nothing is moving ahead without english. You are self - deceiving that you are above average simply because you can utter some words in queen's language.
Tembea uone hiyo kiingereza unayoiabudu kama ipo ujerumani au norway.
Kwahiyo tz kuna mihelaHehehe!! Siwezi nikahamia huko, labda nije tu kukwapua mihela na kugeuza na labda kuwajulia hali dada zenu.
Hamna sehemu ambayo huwa nakudharau na kukuona una exposure ndogo kama kupima uwezo wa mtu kwa kutumia kiingereza.
Juzi nilikuwa naangalia kipindi fulani katika channel inaitwa CCTV ya china walikuwa wakijadili kadhia ya rushwa katika kujiunga na elimu ya juu nchini Marekani. Walimuunganisha Le Profeser mmoja toka Ufaransa, ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Elimu nchini humo alikuwa akiongea a very basic english language, is and was... he was actually struggling. But he was not feeling sorry for not being fluent in the queen's language. This same applies to Chinese, Japanese, Russians, even the people of continental europe or scandinavia, everywhere I travelled. But for you Kenyans, you feel speaking english is elevating you to angelhood. You feel nothing is moving ahead without english. You are self - deceiving that you are above average simply because you can utter some words in queen's language.
Tembea uone hiyo kiingereza unayoiabudu kama ipo ujerumani au norway.
si ajabu mtoto wako umpeleka katika shule za english medium hapo dar..kisha unakuja hapa kuongea upupu mtupu...bwahahaaaa...Hamna sehemu ambayo huwa nakudharau na kukuona una exposure ndogo kama kupima uwezo wa mtu kwa kutumia kiingereza.
Juzi nilikuwa naangalia kipindi fulani katika channel inaitwa CCTV ya china walikuwa wakijadili kadhia ya rushwa katika kujiunga na elimu ya juu nchini Marekani. Walimuunganisha Le Profeser mmoja toka Ufaransa, ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Elimu nchini humo alikuwa akiongea a very basic english language, is and was... he was actually struggling. But he was not feeling sorry for not being fluent in the queen's language. This same applies to Chinese, Japanese, Russians, even the people of continental europe or scandinavia, everywhere I travelled. But for you Kenyans, you feel speaking english is elevating you to angelhood. You feel nothing is moving ahead without english. You are self - deceiving that you are above average simply because you can utter some words in queen's language.
Tembea uone hiyo kiingereza unayoiabudu kama ipo ujerumani au norway.
Hii ni mara ya kwanza kukuona ukiandika kiingereza kilichonyooka kama upara wa mzee Moi. Kumbe jamaa umesoma lakini huwa unajifanya zumbukuku, kazi ni kuchekacheka kama mwanamke anayepapaswa.Hamna sehemu ambayo huwa nakudharau na kukuona una exposure ndogo kama kupima uwezo wa mtu kwa kutumia kiingereza.
Juzi nilikuwa naangalia kipindi fulani katika channel inaitwa CCTV ya china walikuwa wakijadili kadhia ya rushwa katika kujiunga na elimu ya juu nchini Marekani. Walimuunganisha Le Profeser mmoja toka Ufaransa, ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Elimu nchini humo alikuwa akiongea a very basic english language, is and was... he was actually struggling. But he was not feeling sorry for not being fluent in the queen's language. This same applies to Chinese, Japanese, Russians, even the people of continental europe or scandinavia, everywhere I travelled. But for you Kenyans, you feel speaking english is elevating you to angelhood. You feel nothing is moving ahead without english. You are self - deceiving that you are above average simply because you can utter some words in queen's language.
Tembea uone hiyo kiingereza unayoiabudu kama ipo ujerumani au norway.
Hii ni mara ya kwanza kukuona ukiandika kiingereza kilichonyooka kama upara wa mzee Moi. Kumbe jamaa umesoma lakini huwa unajifanya zumbukuku, kazi ni kuchekacheka kama mwanamke anayepapaswa.
Hamna sehemu ambayo huwa nakudharau na kukuona una exposure ndogo kama kupima uwezo wa mtu kwa kutumia kiingereza.
Juzi nilikuwa naangalia kipindi fulani katika channel inaitwa CCTV ya china walikuwa wakijadili kadhia ya rushwa katika kujiunga na elimu ya juu nchini Marekani. Walimuunganisha Le Profeser mmoja toka Ufaransa, ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Elimu nchini humo alikuwa akiongea a very basic english language, is and was... he was actually struggling. But he was not feeling sorry for not being fluent in the queen's language. This same applies to Chinese, Japanese, Russians, even the people of continental europe or scandinavia, everywhere I travelled. But for you Kenyans, you feel speaking english is elevating you to angelhood. You feel nothing is moving ahead without english. You are self - deceiving that you are above average simply because you can utter some words in queen's language.
Tembea uone hiyo kiingereza unayoiabudu kama ipo ujerumani au norway.
Kwahiyo tz kuna mihela.
Mihela ya kenya ako nayo nani
Nyie endeleeni kuchinjana kwa ukabila na akina AlshabaabHehehe!! Siwezi nikahamia huko, labda nije tu kukwapua mihela na kugeuza na labda kuwajulia hali dada zenu.
Hehehe povu full, kwa mara ya kwanza kwa muda mrefu hujaanza na kule kucheka cheka kwako, kweli hii imekuingia.
Kama kawaida nilitegemea mtakuja na hizi blah blah zenu za kingereza sio elimu, mara sio akili mara ni lugha tu kama kimakonde, mara ni cha malkia, mara ukoloni, ndio zenu huwa hata hazinipi tabu.
Lakini ukweli uko pale pale, kwa nyie kushindwa kuzungumza kingereza kinawapa tabu sana na kuwatesa, hilo nimeliona kwenu sio kuambiwa na mtu vijiweni, huna lolote unaloweza kusema libadilishe huo ukweli, kizazi chote cha enzi ya Nyerere na hadi hivi majuzi huwa mnateseka sana kwa kushindwa kukizungumza.
Watoto wenu siku hizi mnawapeleka English hususan kuanzia utawala wa Kikwete, hivyo madogo wengi wa kuanzia miaka 25 kurudi nyuma wako nafuu kidogo na ndio watawakwamua kwa siku za usoni, ila wengine wote nyie ndio kama hivyo, kilishawapiga chenga. Mibaba wengi hata mkienda evening classes bado chenga maana lugha lazima huwa bora ukianza kuitumia tangia utotoni.
Nilikua nasoma uzi huu hapa chini ambapo inasemekana majaji wengi wanawafunga jela Watanzania bure maana wao majaji kingereza kinawapa chenga, kuna hata hukumu zinaandikwa na mawakili https://www.jamiiforums.com/threads/majaji-wa-tanzania-hawajui-kiingereza-tundu-lissu.347785/
Ahaaa haaa haaa
Sikiliza bwana mdogo. The way you praise English, it is like you are next to engels.
You are always deceiving yourselves that, since you are capable to utter some words in English you look like queen's people.
Sawa nimekupa heshima yako ba mkubwaSasa hayo ni matusi bwana mdogo, mimi si zumbukuku na wala sicheki cheki kama wanawake. Mimi hucheka "Ahaa haa ha ha ha" katika sauti nzito mithiri ya sauti ya jini wa Bahari ya kusadikika.
Lingine siyo uungwana kuwatukana watu waliokuzidi umri. Heshima ni kitu cha bure.
Lingine ambalo bado ndiyo tatizo lenu wakenya. Badala ya kufikiria maudhui na mantiki niliyowasilisha kwa hadhira hii. Wewe bado unaangalia kiingereza nilicho andika. Bwana mdogo, mimi kwangu kiingereza siyo issue, but the knowledge, innovation and creativity. Hivyo ndiyo navipa kipaumbele na hata dunia inavipa kipaumbele.
Achana na huyo ana uelewa finyu sana kama bado hujamjua, anasema kwamba kwenye English Tanzania ilikataa kufundisha kwa English na shule zinazofanya hivyo ni private schools {English Medium}Hamna sehemu ambayo huwa nakudharau na kukuona una exposure ndogo kama kupima uwezo wa mtu kwa kutumia kiingereza.