Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,119
- 173,952
Eti inakuwaje wanawake wenye vigenge vya mashoga ndio wanaoongoza kwa tabia zisizo rafiki kwenye mahusiano yani tamaa na wao kupenda makuu zaidi kuliko wale ambao wako socially independent? Yani kwa mahusiano niliopitia na mengi nayoyaona kudumu bila mikiki ni yale ambayo mwanamke anakuwa katulia na maisha yake tu hana tabia za ushoga ila wale ambao wapo na marafiki rundo ndio mahusiano yao yanayumbaga.
Hebu fanyeni kushea uzoefu wadau.
Hebu fanyeni kushea uzoefu wadau.