Hivi kwanini wanawake wenye mashosti wanakuwa wasumbufu zaidi kwenye mahusiano?

Mwanamke akisimama mwenyewe na akasikilizana na mumewe mambo yanaenda poa.
Lakn akiwa na marafiki pembeni..... Ushauri mbaya ndo unaanzia hapo.....
Utasikia "unambembeleza huyo ni mama yako?".
"Unakomaa na biashara za mwanaume....tafuta zako hizo ni zake".
"Shoga nimedanga nimepata hiki hapa nawe jiongeze huyo sio mama yako...."
"Hata ukiachika bado inalipa asikusumhue huyo....."

Ni tabu tupu
Naomba uzi uishie ktk hii SMS tafadhali Wadau.
 
Back
Top Bottom