Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,118
- 173,953
- Thread starter
- #41
Hatari sana hii, majuto huja mwishoni akishaharibuMwanamke akisimama mwenyewe na akasikilizana na mumewe mambo yanaenda poa.
Lakn akiwa na marafiki pembeni..... Ushauri mbaya ndo unaanzia hapo.....
Utasikia "unambembeleza huyo ni mama yako?".
"Unakomaa na biashara za mwanaume....tafuta zako hizo ni zake".
"Shoga nimedanga nimepata hiki hapa nawe jiongeze huyo sio mama yako...."
"Hata ukiachika bado inalipa asikusumhue huyo....."
Ni tabu tupu