Hivi kwanini wanawake wenye mashosti wanakuwa wasumbufu zaidi kwenye mahusiano?

Hii ni kama ina ukweli, maana wanawake walio busy na maisha hawanaga mda wa ushosti. Mara nyingi haya magrupu naonaga ni kwa ajili ya kusengenya watu na kushauriana upuuzi tu.

Mwanamke anaejitambua kwanza akili yake inawaza mambo mengi ya msingi, huo muda wa kukaa kushauriwa ujinga hana. Kwanza hawezi hata kuwa na marafiki wa kumshauri ujinga. Ndege wafananao huruka pamoja.

Kuna msemo unasema "nionyeshe marafiki zako, nitakuonyesha wewe ni nani"
 
Tayari ushasema mashosti! Wanakutana wenye tabia tofauti halafu kila mmoja anaiga tabia ya mwenzake!

Sasa kama huo ushosti ni wa watu wanne imagine mtu mmoja kuwa na tabia za watu wa nne!

N:B, Ndege wafananao huruka pamoja!
Yaani hapa na hii tabia wanaume wanayo pia,wakikutana kwenye madili yao(vigenge+bar) nao huongea vingine upuuzi tu....wengine wanahamasishana ujinga ndo utasikia mwanaume rijali hawezi kuwa na mwanamke mmoja....

Cha msingi ni kuwa na marafiki unaoendana nao,wale mzigo achana nao(wanaokubomoa badala ya kukujenga kimaisha)
 
...huwa wana hulka ya kusimuliana maisha yao,mwisho wa siku atakuwa kila analosikia zuri ambalo rafiki yake anafanyiwa na mpezi wake(si kwa masuala yanayohusu ela tu) naye atatamani na ataona ni haki ya msingi kwenye mahusiano na endapo hutomfanyia aidha akikuomba au kwa kujiongeza ataona kama hujakamilika na hutendei haki mahusiano...Hata ujitahidi vipi mwisho wa siku hutoweza kutenda peke yako yote mazuri ambayo amecopy kutoka kwa wenzie mmoja mmoja yalitotendwa na wapenzi wao tofauti...na ndo chanzo cha myumbo sababu wanawake wanaongeza marafiki kila siku wenye Life style tofauti...ILA KUNA WACHACHE SANA WANA AKILI YA KUWEZA KUCHUKUA YALE MAZURI NA YA MUHIMU KATIKA KUJENGA MAHUSIANO NA MAISHA..WENGI WAO TATIZO NI TAMAA NA KUTOKUWA NA UWEZO WA KUCHUJA NA WANAAMINI KILA ZURI KWA MACHO NI MUHIMU.
Kweli kabisa.
 
Mie mashost ninao ila la kuambiwa nachanganya na zangu basi..pia wana faida sio wote liability
 
Hata huyu baba wa jirani, hapo anakupenda sana ananisumbua sana ajili yako km unaona vipi baby wako haeleweki mpige chini.

kwanza wewe mzuri sana ningekuwa wewe shost heee! wangeisoma number.
 
Hata huyu baba wa jirani, hapo anakupenda sana ananisumbua sana ajili yako km unaona vipi baby wako haeleweki mpige chini.

kwanza wewe mzuri sana ningekuwa wewe shost heee! wangeisoma number.
Akili zao kabisa hizi 😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom