Acheni tujiachie na mambo ya globalization kitu gani bana...nini kaptura,tunapiga hadi boxer..
<br />By enfuka nkulu<br />
wanawake wa siku hizi wamesahau asili yao, wanavaa suruali, kabtura, t-sheti, hawabebi ndoo kichwani na hata kazi wanataka za kiume, zile za kike zinawaboa kweli. sijui ni mdudu gani ameingi vichwani mwao!!!
<br />
Mkuu kuhusu suala la kaptura na suruali kwakweli hata mimi naona kama wanakiuka maadili, yani sometimes unakuta mtu kavaa kikaptura hadi unaogopa hata kuongozana nae bana
Kuna kazi za mwanaume mwanamke hawezi kufanya. Ila waacheni tu.
Kama zipi?
unataka kujiachia jiachienu tu lakini Mungu alivyoumba itabaki vile vile hadi siku ya kiama. Kuva suruali, kaptura, ina sikitisha sana maumbile yenu haya waruhusu na kama mana globalization ni sawa lakini kwa taarifa yako ukiwaona unao sema wana fanya hivyo si wao bali mazingira ndio yanawafanya wafanye hivyo. Nakupa mifano michache tu wao wana weather tofauti sana na sisi wakati wa joto wanachubuka sana sehemu za siri hivyo ilikuzui hiyo hali ni bora kuvaa vikaptura na pengine hata kutokuwaa kabisa na kubaki na chupi tu na kinguo cha kufucha kidogo wakati w abaridi wana vyaa suruali maana n baridi ni kali sana hivyo ili wajikinge inawabidi wavae nguo za aina hiyo. Je wewe bongo una mazingira hay???? au ni kukengeuka na kuacha mira na destru zetu???? tafakari chukua hatuaAcheni tujiachie na mambo ya globalization kitu gani bana...nini kaptura,tunapiga hadi boxer..
Acha hizo wewe. usijifanye mjanja. Mwanamke hata siku moja hawezi kujilinganisha na mwanaume katika kila nyanja. Habari ndio hiyo. Hutaki kukubali shauri yako.
Hujajibu swali. Huwezi kuwa na maendeleo na mentality hiyo. Kazi ya mwanamke ni zaidi ya kubeba ndoo na kuzaa utitiri wa watoto. Si kujilinganisha na mwanamme. Usitishike sana mkuu. Ungana nasi karne ya 21.
Na nyinyi wanaume muanze kuvaa bikini,sketi na blauzi ili tuende sawa.
wanawake wa siku hizi wamesahau asili yao, wanavaa suruali, kabtura, t-sheti, hawabebi ndoo kichwani na hata kazi wanataka za kiume, zile za kike zinawaboa kweli. sijui ni mdudu gani ameingi vichwani mwao!!!
mkuu cabhatica wanahitaji kutulia sana na kujiuliza kwa kina ni usawa wa namna gani wanaouhitaji?otherwise wataendelea kucheza mdundo wasiouelewa mpaka mwisho wa dunia,tuko tofauti kwasababu tunatakiwa kuperform different duties,je ni usawa wa namna gani tunaouhitaji?