Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
Naamini kwa asilimia zote wewe ni mweupeRoho mbaya hiyo inatafsiriwa kwa kigezo na sifa zp?
Au n HELA inatakiwa kutoka kwa maandishi
DuuuhNaamini kwa asilimia zote wewe ni mweupe
Embu sema.ukweli
Kwanini una roho mbaya?
Hahahahaaa noma sana.Eh, mniache
Nimalizane na Birthday yangu
Me.maswali mengine sina majibu
Kuna mrembo ameulizq hapa
Ivi kwanini wanaume weupe wana roho mbaya sana, hawana upendo kwa watu wengine they are very selfish
Kwenye mechi wabovu
Kwenye ndoa wana roho mbaya sana kwanini lakini?
Hili swali niliulizwaga zamani sana miaka ya 70 na jirani yangu, mwisho wa siku aliolewa na mwanaume mweusi, tangu alipoolewa yule mwanaume mweupe hajawahi kuoa mpaka wa leo mwaka 2025 na hana mtoto
Haya weupe na weusi muungane hapa mje mjibu swali la mrembo
wanaume weupe njooni humu jamvini tuwaweke kwenye mzani.
Sa nifanyaje?Duuuh
Wote ni weupe? HahaahCc: Kusa , Kinyaiya ,Tundaman , Phd , Mlela
We utakuwa mweupe wewee unajikaushaLeo weusi tunasifiwa tu bila kutajwa
Mwanaume mweusi ana upendo sana, huruma na upoleLeo weusi tunasifiwa tu bila kutajwa
maulidCc: Kusa , Kinyaiya ,Tundaman , Phd , Mlela
Ndiyo.Wote ni weupe? Hahaah
Mambo hayaeleweki kabisa mkuuSa nifanyaje?
Yule ni mweusi buanamaulid