Hivi kwanini wanaume waliooa huwa hawakataliwi kizembe na wanawake?

Sisi wanawake tunapenda ushindi/kukomoana/kujiona bora
Kwahiyo ninapojua umeoa kwakuwa napenda hivyo vitu vitatu, halafu ukanitongoza unanifanya nijitimizie haja ya moyo wangu kujiona mimi ni bora kuliko mkeo/mimi ni mshindi(nmemzidi mkeo kila kitu ndo mana ukanitaka)
Mimi ni bora kuliko mke wako.

Wakati nyuma ya pazia sijajua kuwa umekuja kuosha Rungu tu several times urudi kwa mke wako
Yani binadamu usipokaa ukafikiria pande zote mbili za shilingi utajilisha sana upepo na hautakaa ushibe
 
Sisi tunajua kuwatunza mabinti vizuri bila shida na hatuna michepuko mingi kama nyie ambao hamjaoa mnaweza kuwa na michepuko zaidi ya watano hamfai nyinyi asee
 
Habari za majukumu wakuu?
Nilikua naomba kujua ni sababu gani zinazowanya wanaume waliooa kutokukataliwa kizembe na wanawake wa rika tofauti, wakati sisi amabo hatujaoa sometimes inaweza ikapita hata mwezi hakuna hata binti anayekusalimia.
kwa leo ni hayo tu.
asante
SAKATA LA UCHOTAJI WA MAFUTA LIMEKUWA ENDELEVU LICHA YA MAAFA YA MOROGORO KUTOKEA, SUALA LA USALAMA WA MAISHA BADO HALIJAWA KIPAUMBELE.🚴🚴🚴🚴
 
Tuliooa tuna sifa nyingi za ziada ambazo vijana wa leo hamna, ngoja nianze kuainisha kwa ufupi
1. Tuna muda wa kukaa kwa hawara na sio ving'ang'anizi kwa mahawara kama vijana mkipewa lifti mwataka kupiga na honi (in Babu Ayoub Voice)
2. Tuliooa tunajua mahaba ya ndani kwa kuchanganya uzoefu wako na wa mkeo kisha ukiuunganisha full mahaba kwa hawara.
3. Tuliooa ni wakweli kwenye ndoa kwamba tukiwa na michepuko hatuwi na michepuko mingi zaidi ya mmoja.
4. Tuna huruma kwa kinamama kwani tunajua kama bila sie michepuko maisha yanawawia vigumu kwa vile kauzoefu wa kumuhudumia mama nyumbani unachangia
 
Back
Top Bottom