my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,017
- 2,384
Kwani wewe mrefu?Subiri waje kukushambulia wewe jamaa
Duh hata sijakuelewa una maanisha nini?Kwa sababu Mbegu zao za kiume nzito mbegu moja 3 kilogram
Halafu wanakuwaga na hasira na kupenda kujihisi 😂 huwa hawana amani sijui kwaniniEspecially Awe mfupi na kitambi na vimatako vya chinichini.Na mwendo wa Kim Jin North Korea
kwako mtu mrefu ni futi ngapi!?Halafu wanakuwaga na hasira na kupenda kujihisihuwa hawana amani sijui kwanini
Dahhh....Ndio maana unakataliwa kwa ufupi wako?
Bila shaka utakuwa handsomeMimi ni mfupi, mnene, mweusi tii na nina macho mekundu
Ndio maana hawakufanyii wepesi?Anhaaaa....
Kumbe ndio maana eehhh...
Inaniuma sana, maana hata PM hamtaki kujibu....Ndio maana hawakufanyii wepesi?