Hivi kwanini Wanaume mnafanya hivi?

Hivi ndivyo itakavyokua 2015 ccm wakirudi madarakani
 
usilaumu ukute alikuwa hana ya kuvaa kuliko kuwa uchi ni bora avae hiyo
 
Ni kipi kilichokutambulisha kuwa huyo Mwanamme? mimi naona si mwanamme huyo.
 
umesahau kwamba wanaume wanataan sana kuwa wadada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…