Hivi kwanini wanadada wanayo miandiko mizuri kushinda wanaume?

Wanafunzi: shikamoo mwalimu
Mwalimu:marahabaa hamjambo wanangu wapendwa...??
Wanafunzi: hatujambo mwalimu
Mwalimu: haya kaeni chini
Wanafunzi: asante mwalimu
 
hivi mnafanya makusudi?

he he sio makusudi,unajikuta tu unaandika hivyo kutokana na kuwa na kazi nyingi au kuelekeza z aidi nguvu katika kutafuta diagnosis na jinsi ya kukutibu kuliko kusumbua akili yangu kuhusu mwandiko.mara nyingi tunaanzaga kuandika hivyo tukiwa chuoni due to overload ya kazi with little time to acomplish them.also mara nyingi tunaandika tukiwa tumesimama so hata uandishi unakuwa tata
 
ndio asili yetu ukianza kubishana na nature inakuwa kazi. kama kutumia nguvu ni asili ya wanaume japo wapo wanawake wakakamavu.
 
Mkuu lakini mbona kuna madokta wanaandika vizuri, ila wengine hata akiandika paracetamol unaambulia patupu.
he he sio makusudi,unajikuta tu unaandika hivyo kutokana na kuwa na kazi nyingi au kuelekeza z aidi nguvu katika kutafuta diagnosis na jinsi ya kukutibu kuliko kusumbua akili yangu kuhusu mwandiko.mara nyingi tunaanzaga kuandika hivyo tukiwa chuoni due to overload ya kazi with little time to acomplish them.also mara nyingi tunaandika tukiwa tumesimama so hata uandishi unakuwa tata
 
Pia inafanana....wanawake Mara nyingi wapo bize kufanya vitu vinavoonekana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom