Hivi kwanini Wakenya hawatupendi Watanzania?

Hivi kwanini Wakenya hawatupendi Watanzania?

Wivu! hata wewe ukimuona mtu anakuchukia bila sababu ujue anakuonea wivu. Yaan wewe unaweza ukashangaa jamaa kakuzidi kiuchumi nk, lakini mbona anakufanyia fitina!? ujue ni wewe tu hujajitambua...ila umemzidi kwa kila kitu! yaan baada ya kuweka mambo yako sawa...utakuwa juu yake sana!

Mtu anapokuonea wivu..kwa maana ingn anakiri kuwa wewe ni zaidi yake na hawezi kukufikia, na anazidi kukupaishi kwa ukiri wake huo wa kimoyomoyo! kamwe huwezi kumwonea wivu aliye chini yako.

Nimeshuhudia maranyingi battle ya maneno kati ya watanzania na wakenya kwenye mitandao ya kijamii, na battle hizo maranyingi wakenya ndo wanaanzisha kutokana na majisifu yao yasiyovumilika na kujiona superior sana kuliko watanzania, ni ngumu kuona battle ya mtanzania na mganda/rwanda/burundi kwenye social networks but ni kawaida kuona battle ya mtanzania vs mkenya, mfano jana kwenye page ya facebook ya msanii wetu Diamond Platnumz aliandika post aliyoiandika kwa lugha mbili kiingereza na kiswahili, kama unavyojua kiingereza si lugha yetu kiingereza chake kikawa na errors kidogo, wakenya wakaanza vimaneno vyao vya kejeli basi kukawa na vita kubwa ya matusi kati ya wakenya na wabongo. Nini hasa kinasababisha chuki hizi?

gado_jakaya-kikwete-begging.jpg
 
Tanzania beggers in kenya

Last edited by a moderator:
Wakenya sifa nyingi, wanaona wivu jinsi watz tunavyoendelea kuwachapa bakora, upande wa mziki wa gospel na bongo flavor tumeshawatupa mbali japo mwanzoni wao walitutangulia.

Rasimali pia tumewatupa mbali, Naamini baada ya CHADEMA/UKAWA kubeba nchi basi hata kiuchumi na kila kitu tutawatupa mbali.
 
Kinachowauma sana wakenya kwa sasa ni kuwa kipindi cha Nyerere hadi Mwinyi walikuwa masuperior hasa toka kipindi kile cha Mkapa mpaka sasa wanaona hali ni tofauti na WaTZ wa sasa sio wa kuperekeshwa kijinga
 
mi ni mtanzania naisha hapa kenya na hayo mnayoyasema naona kama mnaota tuu,mi huku naishi kama celebrity,dada zao wanashoboka vibaya sana
 
Hata nyimbo nyingi za wasanii wa bongo wakenya wameziingiza kwenye youtube na kuziandika kuwa ni zakenya! ila nashangaa hata dada zao wanazimia sana wanaume kutoka bongo! nadhani ni wivu wa "kwanini watanzania wamebarikiwa sana" kwa ujumla tunapendwa sana wa tz kwa jinsi tulivyo tu kokote tutakapoenda sasa nadhani hili nalo tatizo kwao!
 
tukipunguza rushwa kdg,tukiongeza bidhaa tunazo"export" nje ,tukibalance idadi ya wasomi na wataalam wetu ,tukipunguza idadi ya misaada kutoka nje,na pia tukiongeza idadi ya sehem za kutoza kodi km kodi za apartments,uraia,viwanja,na baadhi ya luxury goods kutoka nje........na uongozi ukabadilika........SOON WAKENYA WATAISOMA NAMBA.....VERY SOON

Nimeipenda sana hii aisee!
 
Sio sura tu mpaka roho zao mbaya hakiyanani yaani mimi na hii mikenya ndio haziendi kabisa mpk nikiingia office yoyote kutaka huduma au kufanya kazi jitu la kwanza kulizingua ni likenya na tunazinguana kweli ...kwa mkenya yaani utamuona muhindi kama mzungu wa scandinavia!!!nawachukia wakenya milele pumbavu zao!!

Aisee imenivunja mbavu zote
 
6537673759_843de01cbc_b.jpg
 
Last edited by a moderator:
mi ni mtanzania naisha hapa kenya na hayo mnayoyasema naona kama mnaota tuu,mi huku naishi kama celebrity,dada zao wanashoboka vibaya sana

Teh teh eti unaishi kama celebrity, kumbe panafaa kuishi huko
 
Hata nyimbo nyingi za wasanii wa bongo wakenya wameziingiza kwenye youtube na kuziandika kuwa ni zakenya! ila nashangaa hata dada zao wanazimia sana wanaume kutoka bongo! nadhani ni wivu wa "kwanini watanzania wamebarikiwa sana" kwa ujumla tunapendwa sana wa tz kwa jinsi tulivyo tu kokote tutakapoenda sasa nadhani hili nalo tatizo kwao!

yap, nilikuwa naangalia nyimbo za zamani za Alikiba you tube, karibu zote wameupload wakenya
 
Mimi nimejifunza kuhusu ubaya wa Wakenya the hard way. Kuna jamaa mmoja Mkikuyu nilikuwa nadhani ni rafiki yangu sana kwani katika mikutano mbalimbali tulikuwa tunakutana huko na kunywa bia pamoja. Mpaka alishanikaribisha nyumbani kwake kuiona familia yake. Sasa juzi juzi hapa kukawa na kazi moja nzuri sana ikatangazwa katika hospitali moja.

Basi mi nikapeleka maombi yangu vizuri na detailed CV huku nikiamini kabisa kuwa kazi ile nitapata kwani nilikuwa na qualifications zote na kuzidi. Katika reference nikamuweka na yule Mkikuyu nikidhani kuwa ni rafiki yangu na angeniandikia recommendation nzuri. He is my senior kwenye field yangu na kidogo yeye anafahamika kidogo na recommendation yake ingesaidia sana. Basi waliniita kwenye interview ambayo ilienda vizuri sana.

Wakati tunaagana wakaniambia kwamba walikuwa bado hawajapokea recommendation letter mojawapo. Ilibidi niwakumbushe referees wangu wote kuwa jamani pelekeni recommendation letter upesi. Wote wakajibu kuwa walishapeleka.Nikakaa kama wiki tatu hivi kimya ndipo nikaingiwa na wasiwasi kwamba huenda kazi ile sikupata.

Na kweli baadaye kidogo nikapata barua rasmi ikiniarifu kwamba ile kazi sikupata. Baadaye nilipododosa ndo nikaambiwa kwamba barua moja ya recommendation ilikuwa mbaya sana mpaka ilijikita kwenye personal issues. Nilijua kuwa alikuwa ni yule Mkikuyu tu kwani wale wengine ni Watanzania na walinipa kwanza barua zao nikazisoma na kuzirekebisha mwenyewe kabla hawajazipeleka. Mkenya alitoka povu mpaka akataja na rangi ya meno yangu eti yana madoa doa. Sasa rangi ya meno na kazi vinahusianaje?

Baadaye ndiyo nikaambiwa kwamba what I did was a fatal mistake. Never use a Kenyan as your referee. It was already too late for me! Yaani jamaa wana roho mbaya ajabu!Lakini Mungu si Athumani, hata miezi miwili haikupita nikapata kazi nyingine nzuri zaidi tena katika Hospitali yenye hadhi kuliko hata ile niliyokuwa nimeomba mwanzoni.
 
wakenya na watz ni kama simba na yanga tu. kujitutumua na kila mmoja anamponda mwenzake. lakini ukweli utabaki kuwa ukweli wote vilaza tu.

ha ha ha, ila mikenya imezidi kupenda sifa hata wasizostahili
 
Sio sura tu mpaka roho zao mbaya hakiyanani yaani mimi na hii mikenya ndio haziendi kabisa mpk nikiingia office yoyote kutaka huduma au kufanya kazi jitu la kwanza kulizingua ni likenya na tunazinguana kweli ...kwa mkenya yaani utamuona muhindi kama mzungu wa scandinavia!!!nawachukia wakenya milele pumbavu zao!!

naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom