Hivi kwanini Wahindi na Waarabu hawajiungi vyama vya Upinzani?

Wahindi na waarabu ni wezi na mafisadi,wanapokuwa ccm hawalipi kodi na wanaingiza vitu vya magendo na hata madawa ya kulevya hawakamatwi,kwani wanajua penye udhia penyeza rupia vitu ambavyo ni jadi ya ccm,wakiingia upinzani hawataiba maana huko hakuna wezi,wezi na mafisadi nchi hii ni ccm,kwahiyo waliona vema kuwa na wezi wenzao waibe vizuri,
 
"Njoo CCM mambo yako yakunyookee"- Sumaye.
Wapo kibiashara zaidi.
 

Mkuu, unaongea kama mlevi, hueleweki.

Fikra zako ni za dhiki na chuki tu. Na watu kama wewe hamwezi hata siku kujiendeleza. Unatumia ubongo wako kulalamika tu wakati wenzako wameshapeleka vyombo vyao sayari ya Mars. Wewe subiri Mchina akujengee uwanja wa Mpira mwingine ili ustarehe vizuri zaidi.

Utumwa ni fikira zako. Kaa na kulalamika lalamika tu huku dunia inakuacha katika giza zaidi.
 
Sefu wa CUF pia, Sabodo mfadhili wa Chadema

Sefu Wa CUF Nmjuaye Mm Ni Mtanzania Mpemba,mm Nahis Wakiingia Vyama Pinzani Biashara Zao Huenda Zikaharibika,na Wao Ni Wajanja Sana Kwenye Kuiona Kheri Ndani Ya Shari.
 
La kwanza wewe ni muongo na hii thread yako umeleta kwa ajili ya ubaguzi.
Nithibitishie kama hawa ninaokutajia ni CCM na hawamo vyama Vya upinzani
-Yule mbunge mhindi wa chadema alieshindwa na kafulila ni nani?
-Yule mbunge wa CUF Barwani wa kule lindi kajiulize ana asili gani usione kwakuwa ni albino
-Yule Arfi wa chadema nae ni asili ya wapi
-Kaulize yule naibu katibu mkuu wa CUF kwa upande wa zanzibar ni nani?
-Kuna mbunge mwengine wa CUF yule mhindi wanamwita Sanya asili yake ni nani?
-yule Jussa nae ni nani?

Wacha kutoa thread zisizo na maana



Hawa jamaa wote ni wanachama wa CCM, kwanini hawaendi upinzani?
 
Mkuu.. Mhm.RASTUM AZZIZ mlimfanya nini? Dr.SHAMIM, Dr.ZAKIYA MEGHJI...? Tokyo40 Eee hawa nduguzetu vipi lakini wansema halafu wanatapika na baadae wanaramba matapishi yao!!!
 
Last edited by a moderator:
Eeee, Kweli waarabu na Wahindi wamewachia nafasi waChina kujiunga na vyama vya Siasa, kama vile walivyowaachia nafasi ya biashara ndogo ndogo za mitaani( kuuza pweza, kuuza karanga na mihogo/mahindi) Kesho tutaona ikulu walioijenga waarabu enzi zileee..itakaliwa na Afro-Chinese !! tusione ajaabu Mungu atatuthibitishia.... subira ya vuta heri.. Tokyo40 mfundishe kaka yetu Kanina na mjulishe Dadaetu rosemarie vitisho tuvyo wapa matajiri nchini.... Na wala sii mbali tulimwaga ngano za B A K H R E S S A......
 
Last edited by a moderator:
Chuki za bure kwa wahindi na waarabu. Mkimaliza ya wahindi na waarabu mtaanza na kutafunana kimikoa then makabila. Hasara sana watu kushindwa kufikiri mambo ya msingi kila siku wanafikiria majungu tu. Hii ndio Jamii forum kweli!!!!?????
 
Watanzania wote wenye akili zao timamu wamebaki CCM. Sasa wewe ulitaka wahindi na warabu wahamie chama kisicho na msimamo? Acha bia za mchana bibie

Mwigulu komba nkamia na lusinde nao wana akili? bwana anasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maadili
 

Ukitaka kufanikiwa maishani kama wahindi wa kibongo achana na porojo za wanasiasa. Ishi kama wahindi.
 
Mbona wachagaa wengi ni Chadema umeishajiuliza?

Labda Wachaga wanapenda mabadiliko. Hao waasia wanakumbuka kisa cha Bakharesa wakati uleeee anasapoti CUF.Alifanyiwa fitina hadi kuambiwa mchele wake ni mbovu. Ila kwa kuwa alikuwa makini, akaomba maabara huru zithibitishe ubovu. Kila maabara ilitoa majibu kuwa mchele ulikuwa salama kwa matumiz ya binadamu. Inatajwa kuwa ni baada ya makosa hayo Bakharesa akafidiwa vinu vya NMC pale TAZARA. Na kwa sasa yuko Neutral. Kwa hali kama hiyo siwalaumu Waasia kwani wanalinda biashara zao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…