Hivi kwanini udom boom linachelewa kuingizwa?

Hahahaha! Ukoko ni ukakasi mgumu unaogandamana kwenye vyombo vya kupikia kama vile sufuria, flampeni , n.k! Inaelekea kichachako kimejaa ukoko mtupu kijana? Hahaha,.. Au UDOM Ndo huwa mnakulasana ukoko?

dah jamaa una fikra fupi
 
Kingekuwa chuo kingine mimi ningesikitika sana, lakini kwa UDOM ni haki kabisa boom lichelewe kwani HAMNA USHIRIKIANO MZURI NA VYUO VIKUU VINGINE VYA HUMU NCHINI, na vilele nyie mlijipendekeza kwa J.K kumchangia milioni moja hivyo mliudhihirishia umma kuwa nyie mna pesa za kutosha, Kwa hiyo kwa maoni yangu mimi ningeomba UDOM wafutiwe boom ili wawe ni mfano bora wa kuigwa kwa wanazuoni wote wanajipendekeza kwa CCM!!!!!!!
 
Kingekuwa chuo kingine mimi ningesikitika sana, lakini kwa UDOM ni haki kabisa boom lichelewe kwani HAMNA USHIRIKIANO MZURI NA VYUO VIKUU VINGINE VYA HUMU NCHINI, na vilele nyie mlijipendekeza kwa J.K kumchangia milioni moja hivyo mliudhihirishia umma kuwa nyie mna pesa za kutosha, Kwa hiyo kwa maoni yangu mimi ningeomba UDOM wafutiwe boom ili wawe ni mfano bora wa kuigwa kwa wanazuoni wote wanajipendekeza kwa CCM!!!!!!!

ebu acha kuchangia pumba,wafutiwe bumu afu we ndo uwe unawakopesha au?
 
Sa unamuuliza nan hapa? Hiv kila chuo kikileta malalamiko yake hapa, patatosha! Kamuulize waziri wako wa mikopo mkuu. Usimind ni mtazamo tu





mtazamo ki2 gani hasara ya mtu ni kukosa akili na si mtazamo pole sana na kama habari haikuhusu ni bora ufyate mkia
 
Hawa watu wengine mnatudhalilisha wanafunzi wa udom kwa kupost mambo yasiyo na msingi kwa hiyo we hujui sababu? Aaah mi umenikera
mambo ya msingi kwako si lazima yawe yamsingi kwa mwenzako.komboka kifikra kijana
 
Ni vzur kuulza lakn angalia ndugu saiv watu wanalalamika hawajapata mkopo,wewe unaleta habar ya mkopo kuchelewa!we c mwenze2 watafute wenzako ndo upost kitu kama icho,

kila mtu ana matatizo,na kila tatizo lina umuhm wake
 
duh hii kali wasomi ila leo nimeona bodi imetoa mkopo mpaka watu wenye dvn four ndg na kuna baadhi ya vyuo wanapata wanafunzi wachache mfano muccobs wamepewa watu 6 na sokoine watu kumi tu ila vyuo vingine wamepa wengi hao ni wa mwaka wa kwanza na wamesema hawan hela tena na kuna wengine tuaendelea kusota mpaka sasa cjui hii nchi inacheza na elimu halafu inasadikika kuwa menejiment ndiyo waliohojiwa hizo tume za kuona karibu na ndiyo waliochangia kutuingiza kwenye matatizo haya yaani ni upuuzi mtupu.
 
huo sio mtazamo ni UNAFIKI, juzijuzi udsm wametuletea masuala ya chakula kupanda bei chuon kwao na zile thread za mabibo nayo ni hostel ulikuwa wapi kuutoa mtazamo wako? Au uliona hzo thread znamchango gan ktk elimu yetu hii inayozid kudidimia. Leo hii ya udom ndo unajifanya ku-raise hyo hoja yako hii ya kinafki kwa mgongo wa mtazamo. Kama huna chakuchangia stay cool si lazma useme.

mkuu,kungekua na kidude cha thanx ningekugongea! Sasa bahati mbaya sijakiona! Hata hivyo THANKS..Sana sana tu
 
Back
Top Bottom