Hivi kwanini sisi wanaume wafupi hatupendwi na wanawake?

namshukuru mungu kwa kuniumba ila kiukweli nakosa amani kwa kuniumba mfupi, mweusi,maskini,kibamia kiukweli toka na balehe nimeshatongoza mabinti wengi lakn huwezi amini hakuna hata mmja aliyenionea huruma na kunikubalia niishe nae kiukweli nafanya sana mchezo wa masterbation kwani ndo mkombozi wangu, jambo linaloniuma ni kwamba kila nikimtongoza msichana ananambia "ntakupeleka wapi wewe andunje embu toka usinichefuee kwanza nahs kutapika" wana jf ndo kusema kwamba sisi wanaume wafupi tunawatia kichefu chefu wasichana kwani kuna mt amependa kuzaliwa mfupi, mnatukosesha raha kwa kauli zenu za kumkashifu mungu. ipo ck nasi mungu atatuona waja wake kiukweli nanyanyasika sana nimeamua kujipigia zangu punyeto maana naamini wanawake wapo kwa ajili ya watu warefu maana wao ndo mungu kawajalia. najutia sana kuzaliwa mfupi ni bola tu nisingezaliwa kwa haya mateso ninayopata, kashfa,zarau vyote vinaniandama!
 
Kijana huna tatizo lolote uko safi tu mbona. Tatizo lako una handle rejection vibaya. Hawa viumbe ndo walivyo, Unakata tamaa mapema mno. Kaka unapotongoza tegemea majibu ya kishenzi mara ya kwanza. Hiyo kawaida tu. Rudi tena na tena kwa mazingira tofauti. Unahitaji somo tu kwenye kutongoza. Kama mademu wako wanafunzi wenzako pesa sio ishu wanalishwa na wazazi wao. Pesa inahitajika ukubwani. Kuhusu kibamia kama hawajakukubali wanakionaje?

Ushauri wangu. Mtafute demu mbayaaaa Darasani/Mtaani kwenu ambaye hajawahi kuwa na mwanaume alafu jiweke karibu naye muwe marafiki. Ndani ya mwezi tu mtongoze na urudie tena na tena wiki zinazofuata naye atakuwa desperate kama wewe tu. Ukimpata huyo itakupa Confidence kama atakuzingua demu wako atakayefuata amzidi uzuri aliyetoka. Si vigumu kihivyo.
 
namshukuru mungu kwa kuniumba ila kiukweli nakosa amani kwa kuniumba mfupi, mweusi,maskini,kibamia kiukweli toka na balehe nimeshatongoza mabinti wengi lakn huwezi amini hakuna hata mmja aliyenionea huruma na kunikubalia niishe nae kiukweli nafanya sana mchezo wa masterbation kwani ndo mkombozi wangu, jambo linaloniuma ni kwamba kila nikimtongoza msichana ananambia "ntakupeleka wapi wewe andunje embu toka usinichefuee kwanza nahs kutapika" wana jf ndo kusema kwamba sisi wanaume wafupi tunawatia kichefu chefu wasichana kwani kuna mt amependa kuzaliwa mfupi, mnatukosesha raha kwa kauli zenu za kumkashifu mungu. ipo ck nasi mungu atatuona waja wake kiukweli nanyanyasika sana nimeamua kujipigia zangu punyeto maana naamini wanawake wapo kwa ajili ya watu warefu maana wao ndo mungu kawajalia. najutia sana kuzaliwa mfupi ni bola tu nisingezaliwa kwa haya mateso ninayopata, kashfa,zarau vyote vinaniandama!

Tafuta pesa.....watakuita tall hadi uta wakataa mwenyewe.
 
pole mkuu! self rejection mbaya sana. wapuuze wanaokukataa kwa sababu ya hivyo ulivyo. hujamtokea mtu wa ubavu wako tu, hao wote sio wa kwako. siku zote kumbuka kuwa HAKUNA MTU AMBAYE HUENDA KUPIMA UFUPI. SOTE TUNAPIMA UREFU. Kwa hiyo kila mtu ni mrefu but in comparison ndo huzidiana. kuna wasichana wanapenda wanaume wenye umbo kama lako. be proud of who and what you are.
 
mbona yule msanii wa bongo fleva anawapiga tu.,.very andunje Barnabas...
 
Wafupi tupo wengi, na tunawanawake weng. usikate tamaa wakt kunawafup zaid yko usimlaum Mungu. uskimbilie wasichana ambao si hadhi yako, Jiweke smart na nk
 
Ucjilaumu sana na kukata tamaa,ni kwambie kitu Mungu anakuepusha na kitu na ndio maana yanatoka hayo yanayotokea ,ucjali yupo Yule ambayo Mungu amekuandalia hata angalia ufupi wako,weuc wako wala hicho kibamia,na wala c kitambo kirefu ,c unajua Mungu anafanya kwa Saaa na wkt ulio sahihi,so chill lax God is under contral.
 
namshukuru mungu kwa kuniumba ila kiukweli nakosa amani kwa kuniumba mfupi, mweusi,maskini,kibamia kiukweli toka na balehe nimeshatongoza mabinti wengi lakn huwezi amini hakuna hata mmja aliyenionea huruma na kunikubalia niishe nae kiukweli nafanya sana mchezo wa masterbation kwani ndo mkombozi wangu, jambo linaloniuma ni kwamba kila nikimtongoza msichana ananambia "ntakupeleka wapi wewe andunje embu toka usinichefuee kwanza nahs kutapika" wana jf ndo kusema kwamba sisi wanaume wafupi tunawatia kichefu chefu wasichana kwani kuna mt amependa kuzaliwa mfupi, mnatukosesha raha kwa kauli zenu za kumkashifu mungu. ipo ck nasi mungu atatuona waja wake kiukweli nanyanyasika sana nimeamua kujipigia zangu punyeto maana naamini wanawake wapo kwa ajili ya watu warefu maana wao ndo mungu kawajalia. najutia sana kuzaliwa mfupi ni bola tu nisingezaliwa kwa haya mateso ninayopata, kashfa,zarau vyote vinaniandama!

Usikate tamaa kwani pesa ndiyo sabuni ya roho ukiwa nazo hata mke wa mtu unaopoa tena kama vile hautaki. Chukulia mfano wa Diamond na Ridhiwani Kikwete ambao ni mbilimbi kimaumbile ila wanajiokotea mademu kama vile hawana akili. Wewe chakarika tu, utashangaa siku ya siku wanakuja machangu wa Bongo movie kukutongoza wewe.
 
Money talks..ukizipata hata hautatongoza utatongozwa...
...halafu unakosa kujiamini kwa sababu ya maneno ya watu hii sio njema kwa mwanaume kamili..
 
Usikate tamaa kwani pesa ndiyo sabuni ya roho ukiwa nazo hata mke wa mtu unaopoa tena kama vile hautaki. Chukulia mfano wa Diamond na Ridhiwani Kikwete ambao ni mbilimbi kimaumbile ila wanajiokotea mademu kama vile hawana akili. Wewe chakarika tu, utashangaa siku ya siku wanakuja machangu wa Bongo movie kukutongoza wewe.

Mkuu huyo ridhi1 anajiokotea mademu wapi, unaweza kutaja mademu hata wawili aliowaokoteza?
 
Google jina linaitwa Chinedu Ikedieze.......halafu utaniambia.........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom