- Thread starter
- #81
Kwani halmashauri hawahitaji watu wa kada nyingine mkuu?Ajira zote za tamisemi, wale wanaoajiriwa huko halmashaurini mara nyingi huwa hazina usaili kwa kada zote, ni mnaapply kisha mnapangiwa vituo.
Inapokuja ajira za taasisi za serikali, mashirika ya umma na binafsi, wizara nk basi ndipo linapokuja suala ya usaili.
Sasa ukiangalia kwenye hayo maeneo hakuna nafasi za walimu ndiyo maana unaona hawaitwi, hivyo wanasubirigi dirisha la TAMISEMI la mwezi May tuu.