Hivi kwanini Serikali hailipi Malimbikizo ya Mishahara (ARREARS) ya Watumishi?

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
26,105
34,063
Habarini Wadau,

Ingia kwenye Idara za Afya na Elimu katika Halmashauri na ukiweza kuchunguza utagundua kuwa kuna Watumishi wengi wana madai ya Mishahara yao (ARREARS) za muda mrefu kweli

Pia katika Taasisi sasa nao wana madai haswa TANROAD na TANESCO

Inakuaje Mtu anayedai mishahara ya nyuma ya miaka minne mpaka mitano Hajalipwa ilihali yule anayedai mishahara ya miaka miwili nyuma analipwa?

Serikali inafikiri nini katika hili?
 
Back
Top Bottom