Hivi kwanini Rais haitishi mkutano na vijana?

Hivi kwanini Rais haitishi mkutano na vijana?

Joined
Nov 5, 2014
Posts
43
Reaction score
5
Wakati anaingia madarakani alisema vijana ndo nguvu na tegemeo la taifa la Tz,tafsiri yake kwamba wazee ni kundi ambalo tegemezi,sasa cha kunishangaza badala ya kuita vijana,anaita wazee wasiojua kuongea ,na kama ndo hvyo kwanini asifanye awamu kwa awamu vijana na wazee,naamini wale aliowaita pale wote babu zake wa bagamoyo wanaishi ilala,temeke na kinondoni tu
 
labda Anaogopa vijana Watarusha Makonde!
 
Hapana anaogopa atazomewa. Vijana wenyewe hawa wa viroba na bodaboda. Hata mm simshauri akae na vijana , maana vijana ni vichaa
 
wanasema kuishi kwingi kuona mengi, ndo maana anaita wazee ili kupata busara zao anakosea kwasbbu wazee anaowaita n wa chama chake tu. hata kama angetaka kuongea na vijana pia angeongea na vijana wa chama chake tu, kwasbbu hao ndyo wanaoweza kushangilia na kumtia moyo hata akiongea uJ.i nG.a. Unajua Kikwete mjanja anajua fika kuwa akitaka kuongea U.J.I nga lazima aongee na vilaza ili aonekane angalau nae ana akili, ndo maana kaz kubwa ya wazee anaongea nao n kupga makofi tu.
 
Anaogopa kupewa za uso manake vijana huwa hawarembi
 
Wakati anaingia madarakani alisema vijana ndo nguvu na tegemeo la taifa la Tz,tafsiri yake kwamba wazee ni kundi ambalo tegemezi,sasa cha kunishangaza badala ya kuita vijana,anaita wazee wasiojua kuongea ,na kama ndo hvyo kwanini asifanye awamu kwa awamu vijana na wazee,naamini wale aliowaita pale wote babu zake wa bagamoyo wanaishi ilala,temeke na kinondoni tu

wazee wenyewe wanazomea kama vile ulivyoona, vijana walivyopinda siwatamrushia viatu?
 
Aitishe mkutano na vijana wakati anajua vijana wa sasa hawadanganyiki, labda vijana wa ccm ambao ni full vilaza
 
asijaribu na akileta habar zake za kucheka cheka kwenye camera ni makonde tu .
 
Back
Top Bottom