Hivi kwanini nchi za Africa Mashariki hazijawahi wala hazioneshi nia kuandaa michuano ya AFCON

shamo

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
203
211
Habari wadau na wana jamiiforum kwa ujumla. Leo hii nimekaa na kujiuliza, hivi kwanini nchi zetu za Africa Mashariki zimeshindwa kuandaa mashindano haya?

Vyema vyetu vya soka, TFF, KFF, FUFA na ZFA sijawahi kuviskia hata vikizungumzia wala kuota jambo hili, kwanini? Siamini hatuna uwezo, tatizo ni nini? Nchi Kama Mali, Togo, Cameroon zimeandaa na chumi zao ni hoehae zaidi yetu, sisi kwetu tatizo nini? If political will, tulikuwa na Mzee jk hapa, lkn bado TFF kimyaaa, hata kuota kuandaa hawaoti tatizo wapi? Kama viwanja Africa nzima changamoto, au kuandaa lazma uwe na kiwango flani cha soka? Kwanini hawajipi changamoto hii na nahisi itasaidia kukuza soka letu, kama fedha kwanini hatuungi nguvu zetu kama wana EAC kuandaa? Hii ni changamoto na wanapaswa wajiulize kama wanafit kuongoza soka letu, wao wamebaki kuongoza mechi za Simba na Yanga tuu...au Kagame Cup, let's push them now nasi tuwaone mastar wa soka letu la Africa.
 
Back
Top Bottom