Hivi kwanini nchi ya Burundi haisikiki kama Rwanda?

Ruyama

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
367
561
Nataka kujua maana nchi hizo zinapakana pia utamaduni unafanana na wanaongea lugha moja. Sasa ni kwanini Burundi haisikiki sana masikioni mwa nchi majirani hadi majuu ila Rwanda ndiyo inasikika mno?
 
Warundi hawana shobo na sio watoto pendwa wa mabeberu in short wameridhika na walichonacho
 
Rwanda ndio wakala mkuu wa mabeberu katika eneo la maziwa makuu, wanamtumia kuivuruga DRC ili wale kirahisi.

Hivyo basi anapewa promo sana na hata PK akiua watu wake mabeberu yanaangalia pembeni, yanamhitaji.

Tanzania, hususani serikali ya awamu ya 4 kurudi nyuma tumekua bega kwa bega na Burundi, pia wale ndugu zetu warundi wanatupenda sana tena sana kutoka moyoni kabisa.
 
Kumbe hayati mwalimu JK alikuwa nao bega kwa bega
 
Rwanda ndio wakala mkuu wa mabeberu katika eneo la maziwa makuu, wanamtumia kuivuruga DRC ili wale kirahisi.

Hivyo basi anapewa promo sana na hata PK akiua watu wake mabeberu yanaangalia pembeni, yanamhitaji.

Tanzania, hususani serikali ya awamu ya 4 kurudi nyuma tumekua bega kwa bega na Burundi, pia wale ndugu zetu warundi wanatupenda sana tena sana kutoka moyoni kabisa.
Ni kweli warundi wanatupenda na kutukubali sana
 
Back
Top Bottom