Burundi Vs Rwanda Online War

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,090
2,705
BURUNDI NA RWANDA
Hizi ni nchi mbili tofauti ambazo zipo ukanda wa maziwa makuu.Pamoja na kua ni nchi mbili tofauti bado zimeundwa na makabila mamoja kwa kiasi kikubwa .

Makabila matatu makuu ndiyo yanapatikana kwene hizi nchi mbili
1.Wahutu
2.Watusi
3.Watwaa

Miaka ya nyuma Zimekubwa na Machafuko na mauaji ya kutisha.Rwanda ilikumbwa na mauaji ya kimbali na burundi pia ingawa ya burundi hayazungumziwi sana.

Mwaka 1994 Rwanda ilishikwa na Paul Kagame na Burundi kuongozwa na Nkurunzinza.

Kwa upande wa Burundi imekubwa na machafuko ya mara kwa mara ya kisiasa lakini ndani yake ikiwa na ukabila.

Kilichotokea Rwanda ndicho kilikua kinapangwa kutokea Burundi.

Hivi sasa Wakuu huko twitter kuna vita ya online inaendelea kati ya Burundi na Rwanda.Chanzo kinaeleweka tangu zamani kiko kisiasa lakini hivi karibuni ilizushwa kutokana na picha ya rais wa burundi kuanza kukashifiwa na mashushu wa Rwanda na kumfananisha na vyakula.
Burundi imeanza kujibu mapigo hebu tucheki
IMG_3716.jpg

IMG_3715.jpg

IMG_3714.jpg

Kuna uhusiano mkubwa kwanini burundi inawatania warwanda kwamba wanakula mbwa
 
Burundi inaamini Rwanda kuna njaa ndio kitu kinachopelekea wao kula Mbwa.
Hivi karibuni kulikua na taarifa nyingi za wanyarwanda kula mbwa au kukamatwa na nyama ya mbwa hali inayosababishwa na ukosefu wa chakula cha kutosha.
 
Wakuu huko twitter kuna vita ya online inaendelea kati ya Burundi na Rwanda.Chanzo kinaeleweka tangu zamani kiko kisiasa lakini hivi karibuni ilizushwa kutokana na picha ya rais wa burundi kuanza kukashifiwa na mashushu wa Rwanda na kumfananisha na vyakula.
Burundi imeanza kujibu mapigo hebu tucheki
View attachment 2861590
View attachment 2861591
View attachment 2861593
Kuna uhusiano mkubwa kwanini burundi inawatania warwanda kwamba wanakula mbwa
Ni wapuuzi ndo wanaweza kufanya ujinga kama huu
Haya majamaa ni ndugu kabisa lakini yanadharirishana. Makabila yao ni yale yale
 
Wakuu huko twitter kuna vita ya online inaendelea kati ya Burundi na Rwanda.Chanzo kinaeleweka tangu zamani kiko kisiasa lakini hivi karibuni ilizushwa kutokana na picha ya rais wa burundi kuanza kukashifiwa na mashushu wa Rwanda na kumfananisha na vyakula.
Burundi imeanza kujibu mapigo hebu tucheki
View attachment 2861590
View attachment 2861591
View attachment 2861593
Kuna uhusiano mkubwa kwanini burundi inawatania warwanda kwamba wanakula mbwa

Kwamba burundi kuna chakula rwanda kuna mbwa
 
Back
Top Bottom