mrsleo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 2,588
- 3,869
iko hivi hata huyo unaemuona kama zali leo baada ya kuwa umeoa hata kipindi hujaoa alikuepo ila hukumuona anafaa, ila ulifanya maamuzi ya kumuoa huyo ambae leo hii unaona hafai. Hayo ni majaribu ndugu, mana shetani haipendi kabisa ndoa yaaani haipendi hata kidogo, na ukitaka ku prove hilo, huyo unaemuona zali muache mkeo alafu umeoe yeye uone kama utamuona ni zali tena