Hivi kwanini inakuwaga hivi?

Hivi kwanini inakuwaga hivi?

Usihoji sana maswala ya dini/imani, utakaribia kukufuru kijana...
Haya maswala ya imani ni ya kimapokeo, na ni vyema kuyapokea kwa imani...

Ni kweli imani ni kuamini
 
Mwalupale

we ulitaka watoe vipi sadaka? au ulitaka waende kwa kurukaruka
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale wakristu/wakristo mtanielewa. Hasa Roman catholic.
Kwanini wakati wa kutoa sadaka watu huenda kutoa kwa unyenyekevu sana? Mwendo hubadilika, facial expressions na body gestures huwa very submissive lakini wakitoka hapo unakutana nao bar, gest houses na wengine washirikina. Je hii ni impact ya docility tuliyowekewa kwenye akili zetu.??

Kwa hiyo wewe ulitaka waende kama mwendo wa taarabu(mduara)ndo ufurahi??
Halafu huko ulikosema kwamba huwa unawaona kwenye baa na guest hata kama wewe unajiita mlokole we uliwaonaje sehemu hizo kama na wewe siyo miongoni mwa watu wanaopishana sehemu hizo??
 
Back
Top Bottom