Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,351
- Thread starter
- #41
Natafuta uchokoziGlenn ni kijana jaman
Natafuta uchokoziGlenn ni kijana jaman
🤣🤣Kabisa,Nami nimeonaNatafuta uchokozi
Unamaanisha nini Unique Flower ?
Pole sirudii Tena ngoja niondoke humu baadaeNina wivu
Nina moyo pia
Ww nitese tu
Nafikiri amechoka kuheshimiwaGlenn ni kijana jaman
Easy,easy broNafikiri amechoka kuheshimiwa
Mamboo , yaani unanukiaga poda nzuri tu yaani mbaya halafu hauko pekee Yako upo na best Yako ERoniUnamaanisha nini Unique Flower ?
Naona kama unataka kuvuka mipaka?
Nieleze ulikusudia nini kabla sijawaza vinginevyo
Mfunze adabu harakaNina wivu
Nina moyo pia
Ww nitese tu
Usitaniwe heehNafikiri amechoka kuheshimiwa
Utani gani wa powder?Usitaniwe heeh
Unaona umesema utani hata Babu anataniwa lazima utaniwe uishi hasira ya Nini??😁Ninajuonya kwa ujinga huu hapana hapana,
Taniana na watoto wenzio
Mkichenjiwa mnaona tunadhalilisha wanawake, mkiheshimiwa mazoea yanazudi.Easy,easy bro
Pole 😁😁😁😁 na ulivyo gentlemen Sasa hatariMkichenjiwa mnaona tunadhalilisha wanawake, mkiheshimiwa mazoea yanazudi.
Sijapenda huo ujinga
Hebu hayo mazoea uyaache sasa hivi.Unaona umesema utani hata Babu anataniwa lazima utaniwe uishi hasira ya Nini??😁
🤐Mkichenjiwa mnaona tunadhalilisha wanawake, mkiheshimiwa mazoea yanazudi.
Sijapenda huo ujinga