Hivi kwanini hii hali haibadiliki

Hivi kwanini hii hali haibadiliki

Kuwa smart inapendeza zaidi na sio tu ili upendwe na watu.

Uwezo mkubwa wa kujitambua na kujistukia mwenyewe.

Ukiwa na harufu za kibeberu, miguu kunuka, unaingia kwenye ofisi za watu hadi mtoa huduma anashindwa kuvumilia. Mtu katoka kwenye mishe zake hajaoga anakuja kwenye kikao..

Au unarafiki yako mnakaa geto moja, yeye hanaga mpangilio, akivua nguo chafu anatupa chini au sehemu ya kulala.. 😁
 
Kweli najaribu kuwaambia wanadai mie Sina maadili siwapendi na maneno mengiii
 
Back
Top Bottom