Hivi kwanini hii hali haibadiliki

Hivi kwanini hii hali haibadiliki

Wacha wee
Unachagua tu,kweli mwaka umekuja na Baraka.

Ukifika stand ya mwendokasi nistue[emoji23]
Keki ya jana ipo tu,hakuna anayehangaika kula.Watu wamechoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka wa mibaraka huu,
Nipe namba zako kabisa kesho saa moja kamili nakuwa hapo stand.
 
Back
Top Bottom