ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,587
- 119,690
Yeah, na uzee huu ni lazima kunukia vizuri Unique, unyunyu kama kawaida. Ila mimi ndio mzee tu
Yeah, na uzee huu ni lazima kunukia vizuri Unique, unyunyu kama kawaida. Ila mimi ndio mzee tu
Ahaha kakasirika mwenzio Sana Kisa poda nahisi kahisi poda niza mashoga ila pole zake .Yeah, na uzee huu ni lazima kunukia vizuri Unique, unyunyu kama kawaida. Ila mimi ndio mzee tu
Nafuu wewe unaakili nzuri ndio maana unasoma comment zanguKuna kitu hakiko sawa Kwa mtoa mada,Napenda kutoa pole Kwa familia na jamii inayo mzunguka.
NB:Hii ni baada ya kupitia comment zote kwenye huu Uzi.
unique flower una miaka mingapi?Wewe ndio hauna ushindwe
Mitano nanusuunique flower una miaka mingapi?
Ndio uangalie jinsi ya kuongea, sio kila mtu anapenda kutaniana.Ahaha kakasirika mwenzio Sana Kisa poda nahisi kahisi poda niza mashoga ila pole zake .
Eh kachukia best yangu nimembembeleza yameishaNdio uangalie jinsi ya kuongea, sio kila mtu anapenda kutaniana.
Yes, ila umeniblock kuleeNipo unique, unataka ujue nilipo ili uje sio🤣
Nimekublock? Angalia tena...Yes, ila umeniblock kulee
Ukale tunda usituzuge hapa😆Nimekublock? Angalia tena...
Una mpya gani?
Ni Mzee wawatu na ana familia yakeUkale tunda usituzuge hapa😆
Kwani unataka familia yake au kichinjio chake?Ni Mzee wawatu na ana familia yake
AiseeNimekublock? Angalia tena...
Una mpya gani?
