Hivi Kwanini hata bar za uswazi zinakuwa kama Serena?

komba05

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
367
291
Habari zenu wadau,

Huku kwetu Makongo Juu kuna bar inaitwa Makongo resort, yaani bei za vinywaji vya hapo utasema tupo sehemu yenye hadhi Fulani kumbe dah! Wahudumu wawili, bei ya kila bia ni 2500(local beers) soda 800, nimeshangaa hata kiroba cha valuer eti buku? Hivi Kwanini wanakuwa wanapandisha bei? Au ndio soko huria?
 
Last edited by a moderator:
Bia 2500 unalalama??? Au mimi sijui!!! Kwani bia imeshuka bei????
 
Na inakuwaje inakuwaje unakunywa bia kwenye vumbi lote hilo???? Unaenjoy hta hyo bia yenyewe kweli????
 
Bia 2500 unalalama??? Au mimi sijui!!! Kwani bia imeshuka bei????
Bei ya TBL nafikiri bia inatakiwa kuuzwa 2200/= Kama sikosei. Kuna bar wanauza kwa bei hiyo. Na ukienda kwenye mabwalo ya Jeshi na Polisi mwaka jana bia ilikuwa inauzwa Tsh 1500/=. So usishangae kwa mleta mada kushangaa bia ikiuzwa 2500/= uswazi.
 
Habari zenu wadau, huku kwetu makongo juu kuna bar inaitwa makongo resolt, yaani bei za vinywaji vya hapo utasema tupo sehemu yenye hadhi Fulani kumbe dah! Waudumu wawili, bei ya kila bia ni 2500(local beers) soda 800, nimeshangaa hata kiroba cha valuer eti buku? Hivi Kwanini wanakuwa wanapandisha bei? Au ndio soko huria?
Wanacontro walevi msinywe kwa sifa hadi mvue nguo
 
Bei ya TBL nafikiri bia inatakiwa kuuzwa 2200/= Kama sikosei. Kuna bar wanauza kwa bei hiyo. Na ukienda kwenye mabwalo ya Jeshi na Polisi mwaka jana bia ilikuwa inauzwa Tsh 1500/=. So usishangae kwa mleta mada kushangaa bia ikiuzwa 2500/= uswazi.

Kwa hiyo hapa tunajadili Mia 3 sio.......?.....
 
Bia sio chakula ukiacha huwez kufa kama unaona bei ni kubwa mrudie Yesu.

Duc in Altum
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom