Hivi kwanini CHADEMA mpo wanyonge sana?


Which mass destruction you advised!? Seems you are trying to play mind games with me.
 
You nailed it. Ccm wanajua fika wameshapoteza ushawishi kwa umma, na njia pekee yao wao kubaki sala kwa muda huu mfupi ni kutegemea vyombo vya dola kwa 100%. Hapo walipo wanashurutisha kutaka kuleta maendeleo ambayo walishindwa muda wote wakiamini watakubalika, bila kujua kwa sasa hata waifanye nchi hii kuwa kama US bado kizazi hiki hakipo na ccm tena.
 
Waulize tena, hawakuona wafuasi wa Bobi wine huko Uganda? Eti, wanasubiri Mbowe akitoka gerezani mara atakuwa Gandhi!

Mpaka hao wafuasi wa Bob Wine wanafanya hayo wameshateswa kwa muda gani na Museveni? Au unadhani hizo movement ni za wiki moja kwa watu walioshika dola?
Uko sahihi kabisa, wanasema kama suala la katiba mpya ni la wananchi, mbona wananchi hawajitokezi cdm wanapopata madhila katika kudai katiba mpya, nikiwauliza kwani wanaowazuia cdm kufanya makongamano kudai hiyo katiba mpya ni wananchi au vyombo vya dola hawana jibu. Isitoshe watanzania ni waoga kudai haki zao kwa mapambano na sio kwamba wanaridhika na hali iliyopo.

Kama wangekuwa wanaweza kudai haki zao kwa nguvu, basi huko vijijini wasingeendelea kutumia maji machafu ya Kwenye mabwawa na mifugo, huku viongozi wanakwenda kuwatembelea na maVX, huku wao wakiwa na maji safi ya bomba mpaka ya kuflash vinyesi chooni. Ama wakulima wa korosho wasingeporwa korosho zao kimachomacho.
 
Which mass destruction you advised!? Seems you are trying to play mind games with me.
Wewe una umuhimu gani haswa kwangu? Au ww unadhani una umuhimu gani haswa humu JF or any where else, kwamba I need to play mind games na wewe?

We ungeuliza tu ki staarabu ni ushauri gani huo ulitoa ambao mm nimeukubali kiasi hicho lakini sio kuongea kimama kwenye comment za wanaume.

Next time jitahidi kuwa makini bwamdogo hata kama hujanywa chai you still don't have a privilege of writing shits, if you know what I mean.
 

Ukweli mchungu
 
Umaarufu huwa unashuka hasa usipou-mantain. Halafu ukisoma vzr nilichandika nimesema ''kuongeza umaarufu''
 
Umaarufu huwa unashuka hasa usipou-mantain. Halafu ukisoma vzr nilichandika nimesema ''kuongeza umaarufu''
Umaarufu wa JF?

You must be out of your doggone mind!

Labda wewe ndo huwa unautafuta huo umaarufu na hapa una project ulivyo wewe kwa kudhani na wengine wanautaka huo umaarufu unaouwaza wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…