[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kama ndivyo, mbona sisi ni zaid ya mbwa! Au mleta uzi katokea sayari ya Mars!Anamaanisha labda kung'ang'aniana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shekhe unatoa maneno Kama unataka kutoa rohohastaghafilulah laaaazina hi lakhana khum shekhe wangu kujifananisha na mbwa dah lailaha la kwata
Hivi mbwa wana mapenzi ya kweli kuliko sisi? Yupo mtu naye alitamani kuwa mbwa kabisa akajisemea " Being a human is way too stressful, having to worry about my future and my life, and that is why I wish I was a dog."
Mimi naona hivi hivi Tulivyo ndiyo imempendeza Mungu tuwe hivi.
It is like a gift he has given us to enjoy,..Every presence represent the goodness of our Lord
As all belongs to yeye[emoji4]
Ewaaaa mama mchungajiIt is like a gift he has given us to enjoy,..
As all belongs to yeye na kwake tutarudi[emoji12][emoji12][emoji12]
HahahaaaaEwaaaa mama mchungaji
hahaaahatuna mapenzi ya mbwa nani kasema? binadamu wanayo mapenzi hayo hata dog style ni ya mbwa
sasa vile ndio nini " kama mmepaka super glue bwanaAnamaanisha labda kung'ang'aniana
Hahahaaaa